Home Search Countries Albums

Katika Lyrics


Tapo tapo tapo
Chuu chuu, chuu chuu 

(Angry Panda under Mickey)

Si wa kukatika muanze kukatika
Wa kuagiza muanze kuitisha
Na ka umeketi amka simamisha
Masaa ni ya dancey kati kati kati katika

Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Kama vigilante tuta navigante 

Katika tu ukiturn mummy zungusha
Katika uki tuen we angusha
Katika ukiturn songa nyuma 
Niguze hiyo thutha najua hautanuna

Achilia doba ju enyewe kumethoka
Kaa rada nani hapo utachezwa poker
Nichekeshe nani na hapa mi ndio joker
Utachekwa vile mtu wako nitakutoka

Aiii kadem dem kazuri kamejaa kwa dera
Katika hadi nione umeanza kuhema
Una turn zunguka una turn zunguka
Zinashika kumbe ni kizunguzungu

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Kama vigilante tuta navigante

Nakashika shingo utadgani nachinja kuku
Nazama kwa shimo ni kama mi ni panya buku
Nakatibu dawa ya masai yaani rungu
Kanabaki kanapiga nderemo na nduru

Niko na madawa nimetoa Loliondo
Chokwa na migatho nimesunda kwa kiondo
Naroga madem wanifuate kama kondoo
Nawaita beib na kumbe tu ni wa kando

Nasafisha mangondo nisimamishe ng'ondo
Vile kunago ju anaweza jipata ndonyo
Ndo nikufikishe bungu nitakuficha kwa gundu
Nyuma anatundu ndio maana ana utundu

Vile anatingisha ananiwacha tu nachizi
Nakacontroll kanadai jo kutizi
Mi si poker why manze anajiuliza why
Na izungu anadai basi nywele naeza paka dye

Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Katika tu uki turn ebu katika (Chuchuu)
Kama vigilante tuta navigante 

Kama ndimbli ndmbli wacha ziende sana
Kumbuka hapa mi ndio msanii wa sana
Niko ready ninaweza shika paka power
Katika katika mummy weka power

Kuna venye nakudandia bana mi hukuwanga donda 
Napiga mpaka nawacha alama kama kidonda
Sare vako za pesa bana mwanaume ni kujibonga
Maddam natetemeka roho vile unasonga aiii

Ebu kati kati katika ebu katika
Tingika tingika kiuno sio matumbo
Zitoke zikwende mami usijikokote
Shiginding mbogi bend ukitaka tunabang

Napenda ukibounce napenda ukizitingisha
Napenda ukidance napenda ukitetemesha
We hunipanga mahanjam baby ka unadai some
Fikisha -- kwa gwado nitakupa matam tam

Si wa kukatika muanze kukatika
Wa kuagiza muanze kuitisha
Na ka umeketi amka simamisha
Masaa ni ya dancey kati kati kati katika

Katika tu uki turn ebu katika 
Katika tu uki turn ebu katika 
Katika tu uki turn ebu katika 
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika 
Katika tu uki turn ebu katika 
Kama vigilante tuta navigante

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Katika (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ANGRY PANDA CLAN

Kenya

Angry Panda clan is a new music duo comprising of @Mark_Acairasan and @Calypso_calypso based in Kasa ...

YOU MAY ALSO LIKE