Home Search Countries Albums

Misbehave

ALMA Feat. EXRAY, MADDOX

Misbehave Lyrics


Misbehave ushai misbehave?
Misbehave sijai misbehave
Misbehave ushai misbehave?
Sijai misbehave, sijai misbehave

Misbehave ushai misbehave?
Misbehave sijai misbehave
Misbehave ushai misbehave?
Sijai misbehave, sijai misbehave

Najua mi humisbehave
Lakini manguna wao hunipa head na sijashave
Yeah that's disgusting it got me rapping
Na hii flow, si ni tight niite Titus
Apostle na siko righteous

Hawa vijana wanapenda misbehavour for sure
Zimeshika tumelala kwa floor
Namshow nimetoka church that's why nimecome late
Mi hukam late, hujai come late?

Mi nishai amsha hii
Sitaki beef pewa chai
Never left am right aii, aii aii
Nimeguzwa pabaya, tabia iko hapo si mbaya
Wanamisbehave ka mal-
Sitaki hizo form mi ni dem wa pwaya
Mpaka shetani ananigwaya aya...

Misbehave ushai misbehave?
Misbehave sijai misbehave
Misbehave ushai misbehave?
Sijai misbehave, sijai misbehave

Misbehave ushai misbehave?
Misbehave sijai misbehave
Misbehave ushai misbehave?
Sijai misbehave, sijai misbehave

Ningekuwa hapo nikushikie cha
Magizani nikuwashie taa
Nazikishika mi nateka kwa baa
Aaah kuna karamu funga rama

Hii chok ya fathe nikuonyeshe kama
Sijai fika Karen na zimerunda na Alma
Kilangosh nateka namwachia alama
Na ka ni chura namwachia laana aah

Oya huskii namisbehave
Aiya mara kanjo, aiya mara kanjo
Ukule ka umesonga donda wabebe
Hapo utakonda, oga naija
Hapo akuroge songa uwiii
Labda dabonge, oya hadai pizza 
Labda ndizi na nyama, swara

Dem yako anapenda tu kukula vijiti
Niko jaba ka shamba kateaching
Na ka paka na plumber na clit ting
Aii aii kula nduma 
Unapigwa kispookie unaponya 
Unakula kijiti unabonya
Hapa za mkamba, za mluhya
Pigwa kishoti aaah

Misbehave ushai misbehave?
Misbehave sijai misbehave
Misbehave ushai misbehave?
Sijai misbehave, sijai misbehave

Misbehave ushai misbehave?
Misbehave sijai misbehave
Misbehave ushai misbehave?
Sijai misbehave, sijai misbehave

Sijai mi-mi-mi-mi-misbehave
Mi-mi-mi-mi-misbehave
Sijai mi-mi-mi-mi-misbehave
Sijai mi aai, sijai misbehave

Sijai mi-mi-mi-mi-misbehave
Mi-mi-mi-mi-misbehave
Sijai mi-mi-mi-mi-misbehave
Sijai mi aai, sijai misbehave

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Misbehave (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ALMA

Kenya

Alma also known as "Rastagyal"  is a Gengetone/Gengeton artist from Kenya. She i ...

YOU MAY ALSO LIKE