Home Search Countries Albums

Dushelele

ALIKIBA

Dushelele Lyrics

Nilimwambie asile
Ye alikula akavimba akaja
Mtoto mzuri ayive zaa
Na yule jamaa mwenye mahela akaniacha na njaa
Kwenye mataa
Yeye akaniacha nalia na mola
Ali waleo nalia na mola, ona
Yule aliye kupa wewe ndio kaninyima mimi
Na kama riziki anatoa yeye basi nita kosa mimi
Ila mola, ndio anayetoa
Tena kwa foleni hata kama niko nyuma
Nitapata lazina
Asile, ana maana Yule
Mimi na Yule, tulipendana Yule
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele dushelele waegoo ooh

Ali wakita, ali waleo siunaona
Ooh Yule aliye panda
Kwenye lile shamba langu
Akuona uchungu kuizunguka nyumba yangu
Ukatanga ukungu, kwa penzi la madhurumu
Anayatena kamtema, alikuwa hawara
Mimi na yule, tuliona yule
Mimi na yule, tulifunga ndoa
Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
Madhira anayopata, nikimuona na muhurumia
Natamani harudi kwangu, ila kumwambia sio sawa
Mimi na yule, tuliona yule
Mimi na yule, tulifunga ndoa
Maji ya mapenzi yadionyesha yalifata mkondo yakaenda
Na radi ikapiga kumaanisha kwamba nilimpenda
Mimi na Yule, tulipendana Yule
Mimi na yule, tulifunga ndoa
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele dushelele waegoo ooh
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele, dushelele dushelele waegoo ooh
Ali wa kita
Ali wa leo ooh
Siunaona

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2023

Album : Dushelele (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ALIKIBA

Tanzania

Ali Saleh Kiba, better known by his stage name AliKiba, is a Tanzanian recording artist, singer-song ...

YOU MAY ALSO LIKE