Home Search Countries Albums

PSG

AJAY

PSG Lyrics


It's tano nane
Kwani ni kesho?
5-8, 5-8 tano nane
Jo

Hatuko Paris but tunaball, ka PSG
Ineed a bad one compare backup PSV
Kina nani kusema hizi streets 
Atleast najua si nyinyi
So msiwai compare na si si si zii

Hatuko Paris but tunaball, ka PSG
Ineed a bad one compare backup PSV
Kina nani kusema hizi streets 
Atleast najua si nyinyi
So msiwai compare na si si si zii

Nimekam na kiblick usimess ni risky
Buruklyn Boy number 1 
Nikishoot my shot lazima iingie nditni
Ukirusha narusha, Ukirusha narusha
Nakam back ka frisky

Young god niite Billie
Venye naroga nadai mi chizi chizi
Nadai kuwin hii money ikam double
Diss tano nane hio ni trouble

Matire na duram maboy wanasmuggle
Ukilala utapakwa kwa jungle
Boy ni mrong still bila Rambo
Bando baby ma adis kanangos
Ford hadi shamra shamra unampeleka nandos
Nadai best rapper mi hufanya afumble

Kuna Covid na bado tunachain
Tuko kwa jungle ka kina Duvein
Ju manjis ndo ziko hii game
Pambana na hali yako stay in your lane 

Kuna Covid na bado tunachain
Tuko kwa jungle ka kina Duvein
Ju manjis ndo ziko hii game
Pambana na hali yako stay in your lane 

Kuna Covid na bado tunachain
Tuko kwa jungle ka kina Duvein
Ju manjis ndo ziko hii game
Pambana na hali yako stay in your lane 

Kuna Covid na bado tunachain
Tuko kwa jungle ka kina Duvein
Ju manjis ndo ziko hii game
Pambana na hali yako stay in your lane 

Hatuko Paris but tunaball, ka PSG
Ineed a bad one compare backup PSV
Kina nani kusema hizi streets 
Atleast najua si nyinyi
So msiwai compare na si si si zii

Hatuko Paris but tunaball, ka PSG
Ineed a bad one compare backup PSV
Kina nani kusema hizi streets 
Atleast najua si nyinyi
So msiwai compare na si si si zii

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : PSG (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

AJAY

Kenya

Ajay is a rapper hailing from Buruklyn Nairobi (Buru Buru). They formed Buruklyn Boyz a gang from Ea ...

YOU MAY ALSO LIKE