Mbleina Lyrics
5, 8 tano nane
My nigga kujitisha nishazoea mi
Siwezi give a fuck kwangu bado we ni mbleina
Buruklyn boy ukitry kumess na mi
Ukikam huku East nitakushow we ni mbleina
My nigga kujitisha nishazoea mi
Siwezi give a fuck kwangu bado we ni mbleina
Buruklyn boy ukitry kumess na mi
Ukikam huku East nitakushow we ni mbleina
Yeii, we ni mbleina
We ni mbleina, mble mbleina
Yeii, we ni mbleina
We ni mbleina, we mbleina yeii
Siku hizi ni plug nina get paid
Nimekula mawe najua what is pay
Naskia kama YNW Melly
Thinking about murder at a youg age
Life ya kutrap huwa deadly
Uko East utadedi ukipatwa ukisleki
Nina ngori na malazy, fuck all depending
Niko hapa juu ya benjis
Hii ni 2020
This is the year I'm elevating
From East to West I'm relocating
Nasaka ganji I'm paper chasing
Hii ni 2020
This is the year I'm elevating
From East to West I'm relocating
Nasaka ganji I'm paper chasing
My nigga kujitisha nishazoea mi
Siwezi give a fuck kwangu bado we ni mbleina
Buruklyn boy ukitry kumess na mi
Ukikam huku East nitakushow we ni mbleina
My nigga kujitisha nishazoea mi
Siwezi give a fuck kwangu bado we ni mbleina
Buruklyn boy ukitry kumess na mi
Ukikam huku East nitakushow we ni mbleina
Yeii, we ni mbleina
We ni mbleina, mble mbleina
Yeii, we ni mbleina
We ni mbleina, we mbleina yeii
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mbleina (Single)
Copyright : (c) 2019 Buruklyn Boyz
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
AJAY
Kenya
Ajay is a rapper hailing from Buruklyn Nairobi (Buru Buru). They formed Buruklyn Boyz a gang from Ea ...
YOU MAY ALSO LIKE