ValePain Lyrics

Ujasiri sina wa kuzozana nawe
Kurumbana na wee, hali sina
Naona bora niwe, vile vile pole
Ningesikung'ang'ania
Usingenidhulumu
Huenda nisingekujua
Na ningeshukuru
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Hufanani kwa vitendo ulivyonifanyia
Umedanganywa na nani?
Na wema niliokufanyia
Aah umenifanya vibaya
Sina tena changu
Nakubali eeh, nimekupoteza
Sio bahati yangu
Wewe niking'ang'ana nacheza
Sina tena changu
Nakubali eeh, nimekupoteza
Sio bahati yangu
Wewe niking'ang'ana nacheza
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Mapenzi yamenifunga kamba
Mdomoni maji hayana ladha
Nachukia kitanda
Chakula sili kusaza
Yale niliyopanga
Umepangua bila kuwaza
Ningesikung'ang'ania
Usingenidhulumu
Huenda nisingekujua
Na ningeshukuru
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Hufanani kwa vitendo ulivyonifanyia
Umedanganywa na nani?
Na wema niliokufanyia
Aah umenifanya vibaya
Sina tena changu
Nakubali eeh, nimekupoteza
Sio bahati yangu
Wewe niking'ang'ana nacheza
Sina tena changu
Nakubali eeh, nimekupoteza
Sio bahati yangu
Wewe niking'ang'ana nacheza
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
Valepain, ayeyeyeee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : ValePain (Single)
Copyright : © 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LAMECK DITTO
Tanzania
Dotto Bernad Bwakeya aka Lameck Ditto is a singer, songwriter and an artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE