Ndoto Lyrics

Ndoto ndoto kila mtu ana Ndoto Kwa dunia ihi
Ndoto ndoto kila mtu ana Ndoto Kwa dunia ihi
Wa moja wanataka kuwa ma doki ( doctor )
Wengine wanataka kuwa rubani
Na Mimi ninataka kuwa mhubiri wa injili
Wengine wanataka kuwa ma lawyer
Wengine wanataka kuwa walimu
Na Mimi ninataka nimbe watu wa okoke
Ndoto yangu kubwa aaah oooh
Ni hubiri watu kupitia wimbo ooh
Walio potea na dhambi
Warudi kwa mwokozi aaaah
Ndoto ndoto Ndoto oh Ndoto yangu itafika tu
Ndoto ndoto ndoto oh ndoto yangu itatimia tuu
Ndugu ndugu ndugu Uliye na Ndoto
Kesha omba sana ndoto itimie eh
Usikate tamaa piga magoti
Mungu anaona atajibu uuh
Wasikuvunje moyo wanadamu
Wasikuvunje moyo marafiki
Amani Mungu tu nakujiamini ihii
Nitafika aaah aaah aah
Nitafika kwa ile ndoto yangu
Watu wataokoka
Watu watampokea
Yesu Ile ndio ndoto yangu kubwa Mimi Ndooooto
Ndoto ndoto Ndoto oh ndoto yangu itafika tu
Ndoto ndoto ndoto oh ndoto yangu itatimia tuu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Adolph Clark
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE