Christmas Sikukuu Lyrics
Sikuku ni ifikile
Na mwaka ukilelie uthila
Krisimasi ndio hii
Na mwaka mpya wasogea aah
Msimu wa kusherehekea
Na kufufua ndoto zetu uuh
Familia kuonana kutabiria future zetu
Hata kama mwaka umekuwa vipi
It's a holiday
Haijalishi wewe umeona yapi
It's a new season
Hata kama mwaka umekuwa vipi
It's a new day
Haijalishi wewe umeona nini
It's a new season
Amka tucheze, tufurahie sikukuu
Amka tucheze, tusherehekee it's a holiday
Amka tucheze, tufurahie sikukuu
Amka tucheze, tusherehekee it's a holiday
I wanna wish you a merry christmas
A merry christmas
I wanna wish you a merry christmas
And a happy new year
I wanna wish you a merry christmas
A merry christmas
I wanna wish you a merry christmas
And a happy new year sikukuu
Whatever you have is enough for the season
Just be happy
Hata kama kidogo gawia mwenzako
Make them happy
Whatever you have is enough for the season
Just be happy
Hata kama kidogo gawia mwenzako
Make them happy
Piga picha zako tupostie tutalike
Enda church yako jiombee
Piga picha zako tupostie tutalike
Enda church yako jiombee
Kumbuka Yesu ndiye reason for the season
Usimwache nyuma
Kumbuka Yesu ndiye reason for the season
Tumaini mpya
I wanna wish you a merry christmas
A merry christmas
I wanna wish you a merry christmas
And a happy new year
I wanna wish you a merry christmas
A merry christmas
I wanna wish you a merry christmas
And a happy new year sikukuu
Celebrate celebrate
It's a happy season
Celebrate celebrate
It's a holiday sikukuu
Furahia sherehekea mama
It's a happy season
We furahia na marafiki na jamii
It's a holiday sikukuu
Dance dance dance dance aah
It's a happy season
Kula kula chapati na nyama
It's a holiday sikukuu
Celebrate celebrate huh
It's a happy season
Furahiaaa
It's a holiday sikukuu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Christmas Sikukuu (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE