Mbogi Gaza Lyrics

SLAMBOZEER
80BLACKS hey
MBOGI NI GAZA MBOGI NI GENJE
Hey Chino ulizimno
Mimi ni gaza, na hutai nikosa na dagga
Michuma miukaza, na kisha mableina na marda
Mangumi mi uchapa wakinishida ni pap! pap! (Pap!)
Naleta maafa mpaka kwa wale mangaaa.
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Blacks
Napiga maclaks
Mangoto na rungu naenda kuthug
Napita na Gang, kila mmoja na rungu na gun
Twasaka maweng
Tupigana koto MASAA YA CHE
Twaunza madree
Na banga kikuja vibaya takula rithe
Amardwe na geng juu
Gaza hatupendi majenge
Mauzi na Ak tupenda kucork na rende
Mavisu na ngumi zatupwa za chinku
Usiku pepera pepera majenge
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
[Smady Tings]
Njaga Ni washaaa njaga nawasha
mboka Ni ngeso,Shang inawashaaaa
Mbogi Ni gaza medz Ni baga
Meds ziko gwadha led ni copper
Nena Ni klappah luku imewaka
Lazima ngasha mbogi warena
Kama irori piga matenje piga mapori
Kanga wasoro rima ni bloody
Hi ni deathrow bangi Ni wholi
Tomba urazi bugda mngazi
Wizi Ni kazi Uzi iko kazi
Mi ni assassin hi ni kisasi
Kula risasi chaji alibaki
Ground ndo ndaki mi ndo aladen mbogi
Ni genje,ngumi n nbwegze (Smady tings)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
[Iduzeer]
Uzi revolver tumejipin
Kisu na daga tunaziri
Mister uhanga dana nakill
Naleta mafaa mtaa ni biii
Nakuja namada na maziding
Kutoka kidungi mbogi ni hiii
Ni sisi na mbogi gaza izidi
Ukileta ufala kula viding
Tucorki maAkA na Rizy
Mi juwanga idu ni chizi
Ubuzi na yee saliti
Okicheza na mi nakilli
Makosa za riet kutifin
Mambanga za getto ni chizli
Madala za dogni ni dugni
Tupige mangeta kimbogi
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi ni gaza, na hutai nikosa na dagga
Michuma miukaza, na kisha mableina na marda
Mangumi mi uchapa wakinishida ni pap! pap! (Pap!)
Naleta maafa mpaka kwa wale mangaaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mbogi Gaza (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
80BLACKS
Kenya
80Blacks aka the Idu Masters is a group of three gothic artists from Kenya and South Sudan. 80B ...
YOU MAY ALSO LIKE