Home Search Countries Albums

Oh Ngwai Freestyle

ZZERO SUFURI Feat. OKO

Oh Ngwai Freestyle Lyrics

Mimi ni ngori mamoshi hadi jioni
Hawanioni nasaka mulla nasaka manoti
Sinaga stori sipendi umbea sipendi uploti
Sipendi ufala sipendi umama tutakosana

Akili imejaa mangwai nimetoka tu kuchoma kimoja sai
Karao akikam huwezi nipata nani 
Nimejipin mangwai we nishow tu ngapi unadai
Moja ni chwani chwani chwani 

Mi nadai tuzipashe, oh ngwai, oh ngwai oh ngwai
Mi nadai tuzivute kwanza kiangu kimeland kabla pedi hajakam
Mi nadai tuzipashe, oh ngwai, oh ngwai oh ngwai
Mi nadai tuzivute kwanza kiangu kimeland kabla pedi hajakam
Washa kiako tukivute

Kuja nikuashie kingwai, kuja nikuashie ki
Kuja nikuashie kingwai, kuja nikuashie ki
Kuja nikuashie kingwai, kuja nikuashie ki
Kuja nikuashie kingwai, kuja niku

Ati ni first time mi kula ngwai 
So kwa pedi huwa karibu ndio mimi nigo
Hii ni ya mamorio ilibaki tumejipin
Makolo design ingine usoo usoo

Ati ni first time mi kula ngwai 
So kwa pedi huwa karibu ndio mimi nigo
Hii ni ya mamorio ilibaki tumejipin
Makolo design ingine usoo usoo

Kimoja kia kwanza kwanza venye kiliwaka
Ilibaki oh gai zitatushika 
Mi na mamorio wa mi kwanza venye zililight
Si ilibaki zitaturarua 

Usikuwe na wasiwasi grab up a sensi and put your lips around me
Usikuwe na wasiwasi wachana na wasiwasi
Usikuwe na wasiwasi grab up a sensi and put your lips around me
Wachana na wasiwasi, usikuwe na wasiwasi 

Kimoshi kibao kidhani, na we ndo unashuka
Nimezichoma toka ngware zimeraruka
Stars nazo kibao nadai kufungua duka
Cologne ni harufu ya ngwai ndo inanuka

Washa mavela mangwai zimetushika walai
Macho nyanya macho chinku nafeel niko high
Connect, connect connect ...

Oh ngwai, oh ngwai oh ngwai
Mi nadai tuzivute kwanza kiangu kimeland kabla pedi hajakam
Mi nadai tuzipashe, oh ngwai, oh ngwai oh ngwai
Mi nadai tuzivute kwanza kiangu kimeland kabla pedi hajakam
Washa kiako tukivute

Kuja nikuashie kingwai, kuja nikuashie ki Shh Shhh
Kuja nikuashie kingwai, kuja nikuashie ki Shh Shhh
Kuja nikuashie kingwai, kuja nikuashie ki Shh Shhh
Kuja nikuashie kingwai, kuja cheki eeh

Ati ningekuwa pedi ningewasha hizo gode
Tuzivute zote zote ka zote
Kubaki kukinuka tu magode 
Eeh kukinuka tu ma eeh

Ati ningekuwa pedi ningewasha hizo gode
Tuzivute zote zote ka zote
Kubaki kukinuka tu ma ssh 
Yeah yeah in the building

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Oh Ngwai Freestyle (Single)

Copyright : (c) 2022

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ZZERO SUFURI

Kenya

Zzero Sufuri (real name Jeremiah Chege) is an artist from Nairobi, Kenya based in Dagoretti.He came ...

YOU MAY ALSO LIKE