Huku Lyrics

(Jeydrama on the beat)
Sina ujanja, penzi liko hot like fire ahh
Kwa hili penzi nishada da ta ta ta ta
Nikiwa naye nawaza ujinga
Mapenzi fulani mara pingu kanifunga
Na kama gari lishawa ka waka ka ka ka
Utamu wa big G oh darling
Unavyonipatia utamu hatari
Kwenye hili huba we hodari
Acha tu nikuweke moyoni
Utamu wa big G oh darling
Unavyonipatia vitu hatari
Sakafuni hafi juu ya dari
Achatu nikuweke moyoni
Hivyo hivyo usiniache nishike
Huku huku (nataka)
Huku huku (niguse) huku Baby
Leo nibebe tucheze nishike
Huku huku (nataka)
Huku huku (niguse)
Huku huku ouh oh oh
Uh yeah eh eh yeh
Chinga on this one yeah
Yeah yeah
Baby nikushike wapi utaposikia raha
Majina yote uniite mimi (Honey sweetie)
We si ndio chombo ya fundi safi
Sichagui pa kupitisha ulimi (neaty)
Waambie kwetu tunakata keki kila siku night
Na hatuzimi taa full set light
I like it when you're wet youre my moonlight
Kidoti kama jokate lakini so tight yeah
Baby baby unanichanganya kwani unakuja kujaje
Niko hapo azonto
Baby baby unanichanganya kwani unafanya fanye tunavyokesha mapopo
Baby jipinde hivyo hivyo nikushike
Huku huku na huku
Huku huku Huku (baby)
Leo nibebe tucheze nishike
Huku huku (nataka)
Huku huku (niguse)
Huku huku ouh oh oh
Nikushike wapi baby
Wapi baby
Chinga Konde music worldwide
(Buffalo)
Oh nah nah nah
(The mixkiller)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Copyright : © 2025 The Musiq Market. All rights reserved.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE