Home Search Countries Albums

Ndoa Lyrics


Mmmhh mmmmh mmmh
Raydio

Leoo ooh ,dada mwenzioo leoo ooh funga ndoa
Ukooo ooh penzi mwenzio, ukoo ooh funga ndoa
Walitesa saana moyo wako , kukesha saana kuomba dua
Kumlianga sana mungu wako, kuchoka saana kuomba dua
Everyday everyday, baado ooh bado dua
Na today na today leoo ooh waka jua
Ona meli sasa ng'oa nanga
Kuvishana pete kwa kiwanja
Miaka nyingi tena ya baraka
Akupe baraka pia mama
Ona nguo nazo zabana
Aki baby shower twangoja
Ukifunga ndoa salama
Usisahau bado si tupo

Dada kaoe naan oa, oa ,oa
Na mume mlishe naan ndoaa,ndoa,ndoa
Dada kaoe naan oa,oa,oa
Na mume mlishe naan ndoa ,ndoa,ndoa

Mama shangilia mama shangilia ooohaeeeh
Salma shangilia salma shangilia ooohaeeeh
Miaka thelathini ajaoa aah, leo kampata mume
Dada walai usitie doa aah, leo kampata mume
miaka thelathini ajaoa aah, leo kampata mume
Dada walai usitie doaa ah,leo kampata mume
Tunashangilia, tunashangilia, tunashangilia sotee
Tunashangilia,  tukikuimbia, tunashangilia sotee

Dada kaoe naan oa, oa ,oa
Na mume mlishe naan ndoaa,ndoa,ndoa
Dada kaoe naan oa,oa,oa
Na mume mlishe naan ndoa ,ndoa,ndoa

Ndi musanyufu, we uwaowoo (am so happy ,yes iam)
Wee uwaowoo,  ndi musanyufu (yes i am , so happy)
Ndi musanyufu, we uwaowoo

Dada kaoe naan oa, oa ,oa
Na mume mlishe naan ndoaa,ndoa,ndoa
Dada kaoe naan oa,oa,oa
Na mume mlishe naan ndoa ,ndoa,ndoa

Umepanga tena yakuoa
Usipange tena ya kutoka
Umepanga tena ya kuoa
Usipange tena ya kutoka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Ndoa (Single)


Added By : Radio Pirate

SEE ALSO

AUTHOR

ZADDY RAYDIO

Kenya

ZADDOCK RAYDIO known musically as ZADDY RAYDIO is a Kenyan born singer, dancer ,actor and a guitaris ...

YOU MAY ALSO LIKE