Nimemuona Bwana Lyrics
Hivi je, waijua sababu, yakuinuliwa kwangu
Kubarikiwa kwangu
Hebu keti tutete pamoja nikwambie
Kuna siri hapa we hujui yu ya baraka zangu
Kuna mungu namjua ni mmoja tu si sawa na wengine
Hapangiwi na mwingine haweza kumpa mwingine
Hivyo, tulia tuli tulia shikilia hapo tulia
Ukiw na mungu tulia atakuletea mengi
Nimemuona huyu bwana akitenda kwa wengine
Na mimi amenikumbuka, ndio maana nasimulia
Umeona nini ulipo?
Nimemuona bwana, akitenda katika maisha yangu
Umeona nini ulipo?
Nimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pima
Umeona nini ulipo?
Nimemuona bwana, akitenda katika maisha yangu
Ee tunajivunia, matendo yake bwana
Nimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pima
Na tukikutana kuabudu, wasogea karibu
Ili bwana ugange mioyo yetu
Bwana hakuna usilowezan pekee unaweza
Hivi bwana nitarudisha nini
Umetukuka juu mbinguni duniani kila mahali
We mungu ni mungu wa uweza
Tena bwana hupangiwi na mtu jua lina kutii
Milima bahari vya kutii
Siwezi sema mimi
Mambo mamgapi
Umenitendea
Nakushukuru, ndio maana naimba
Nikusifu wewe
Nimemuona bwana, akitenda katika maisha yangu
Nimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pima
Nimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pima
Nimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pima
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ZABRON SINGERS
Tanzania
Zabron singers is an evangelism group found in Kahama Tanzania, since 2006 to 2015 more than sixty h ...
YOU MAY ALSO LIKE