Home Search Countries Albums

Anaolewa

YUZZO MWAMBA

Anaolewa Lyrics


Ety ametunza bikra yake mbaka hizi enzi
Za uzee sisi tuliwaita mbwa
Ye akutaka wa mbwekee  si tulikuza biashara
Ye alikuza kalio leo kwao kuna harusi ety leo anaolewa
Nikimfikiria mbaka nakosa uhondo
Ye apakiwe kwenye gari si ndo tupakiwe mkongo
Unaachaje nyumba chafu uende kusafisha kucha
Ona sasa unaumbuka ety leo anaolewa
Kadada gani mbona kanaleta fujo kwnaza kalivunja
Chaga kabla hakaja vunja ungo leo
Kanashika pete situnashika adabu kanaenda kula maisha situnakula adhabu
Wanaomjua vizuri wala hawajilegezi
Ukituma yakutolea anakuja amevaa pedi
mbaka ameolewa ameptia vingi alikwepa vya tipsi kaingia kidimbwi

Anaolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa
Anolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa
Anaolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa
Anolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa

Hashatoroka kwenda kufuata ukimwi
Kapewa mimba na ujawh kuzini tujiande basi
Kwenda harusini sitaki kukosa siti sitaki sitaki kuhadithiwa yule binti ni morogoro
Yan mji kasoro anaringia kichwa kikubwa akati anakalio dogo
Tatizo shoga unajifanya uoni ulipewa hela ya p2 we ukanywa piriton
Wanaomjua vizuri wala hawajilegezi ukituma yakutolea
Anakuja amevaa pedi mbaka ameolewa ameptia vingi
Alikwepa vya tipsi kaingia kidimbwi

Anaolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa
Anolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa
Anaolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa
Anolewa anaolewa
Anaolewa ety anaolewa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Son of the Pastor (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

YUZZO MWAMBA

Tanzania

Yuzzo Mwamba, Born Yusuph Nizar is a HipHop artist who emerged after winning the bongo star search c ...

YOU MAY ALSO LIKE