Home Search Countries Albums
Read en Translation

Mbuzi Lyrics


Men I just wanna get pay boy
Hang with them big come up play boy
Ukitaka pesa yangu ain't nothing can say boy
Tag la wanangu mapunk wa TMK boy
Got on my way boy for most

Sasa hivi sina story na watoto
Mashavu ya international nayavuta kuja local
Ndio maana nikaacha kuhang na wana goroko
Nakuwaga lowkey ila sasa man niki go local

Suckers wanatujua 
We taking over streets rockers na flow mature
So nakujuza mi mbaya na najua wajua 
Try to put a trigger on my chest nikawachia kifua
Shoot gon to yah down bad
Dissing my designer you niggas copying swag
Jays on my feet got huoni tags
Nawakilisha Bongo nikitusua nitabeba flag

Grasses me later, kutwa dawa ya kupini
Unanifananishaje mimi na watoto wa mjini
Wakijipanga tunapangua tu kwani nini
Tunakata wanaojitapini ila chini kwa chini utajua lini

Busy tunacount paper
Blackstone ila najichoma kwenye white paper
Tukikutanaga ana kwa ana unanikwepa
Hata hivi haunishtui hata kidogo so hunifai sepa
Bahati mnazo ila mmezikalia
Mi ndo kiwanda ukinidiss umeharibu career
Baadaye tukiwa juu ya jeep tunawachungulia
Hatutakuwa na neno kubwa zaidi ya "Tuliwaambia"

Sikilizia vocal, sikilizia mziki wa Dicksound kwenye mkoko
Sikilizia mziki wangu unavyopendwa na watoto
Alafu sikilizia navyowapelekea moto na mkong'oto
Pesa zinatufuata pesa zinatutaka, chuki hazina mipaka

Milango ishafunguka noti zinatupata
Kupata sharubu atufanye tukuite mkaka
Nigga What? Nawakilisha Dar
Toka enzi za Sygon oi oya na Dar
Nikitema sumu we unatema mate
Hata kama una mimba mimi sio baba wa mtoto utayezaa

Mimi ndo nembo ya mtaa you know I get it
Marapper wako wakiniona wanabanwa na ngiri
Na kuchana na chana narudisha enzi za Lil Wayne
Amilli, a milli

Speaking of this hash, hash
Since mi ni mbuzi mdota nakula nyasi
Tabia tu za mbuzi mdota nakula bata
Sio nakuchukia ni vile nakuona trash takataka
ArrhgH Ptttuuu!, we outchea..

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mbuzi (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG LUNYA

Tanzania

Young Lunya is a hiphop artist from Tanzania signed under Rooftop Gang a hiphop record label ba ...

YOU MAY ALSO LIKE