Amsha Popo Lyrics
Wanasema maneno wala sijali
Vidomo midomo wapishe mbali
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi amsha popo, amsha popo
Wanasema maneno wala sijali
Vidomo midomo wapishe mbali
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi mashine, eeeh
Kama mmekosa kazi shika jembe mkalime
Usilete ubazazi, washa kiki niizime mee
Shishi ndo mfunga kazi hakuna mwengine, eeh
Kama unywele ninao, kama mkia ninao
Kababy face ninako, Shishi mama lao
Kama mkwanja ninao, kama mkia ninao
Kama ubaya ninao, Shishi mama lao
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi amsha popo, amsha popo
Wanasema maneno wala sijali
Vidomo midomo wapishe mbali
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi amsha popo, amsha popo
Kidali po, nenda ukale nacho
Kidali po, nenda ukale nacho
Kidali po, nenda ukale nacho
Kidali po, nenda ukale nacho
Kama unywele ninao, kama mkia ninao
Kababy face ninako, Shishi mama lao
Kama mkwanja ninao, kama mkia ninao
Kama ubaya ninao, Shishi mama lao
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi amsha popo, amsha popo
Wanasema maneno wala sijali
Vidomo midomo wapishe mbali
Shishi amsha popo, amsha popo
Shishi amsha popo, amsha popo
Naleta matata, waigunga naleta matata
Naleta matata, Shishi baby naleta matata
Naleta matata, waigunga naleta matata
Naleta matata, Shishi baby naleta matata
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Amsha Popo (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SHILOLE
Tanzania
Musician From East Africa | Tanzania | actress | most influential artist in Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE