Msafi Malingo Lyrics
Oooh aaahh aaaaah oooh aaah
Teddy B
Nimetafuta mchumba kwa muda mrefu zigidy
Nasipati mchumba zigidy
Kwani Willy sina sura zigidy
Ama simjui jah jah
Kwani Willy sina sura aaah
Ama simjui jah jah
Kwani wenzangu tu wanabarikiwa tu
Na mi nalengwa tu
Basi nibariki kama yule mwisho
Yuko na kati kiuno
Mapepo zikicome wanazipiga karate iiee kataaaaa!
Ooouooouooo malingo ya nini
Ooouooouooo malingo ya nini
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo!
Tupa malingo!
Lenga malingo!
Nataka mtoto wa president
Mi najua provider wa president
Unataka kakitu
Mungu ndiye wa kakitu
Si takudanganya danganya danganya danganya boo
Mtoto wa Mungu mtoto wa mungu
Pesa makaratasi eeeh
Ooouooouooo malingo ya nini
Ooouooouooo malingo ya nini
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo!
Tupa malingo!
Lenga malingo!
Uuuuuu
Jamani nakufwata usiku mchana
Silali
Njoo utulize mtima wangu
Silali
Baby njooooo unitulize mtima wangu baby
Wanizingua moyo
I wanna be with you
Marafiki wako wote watakudanganya
Unipe kisogo
Utafute tena umeleta malingo
Jambo my baby boo
I got some questions for you
How do you feel when you ringia me?
How do you feel when you chezea me?
How do you feel?
How do you feel?
How do you feeeeeeeel
Si uache malingo eeeh malimalimali
Baby si uache malingo
Si uache malingo eeeh malimalimali
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Tupa malingo
Lenga malingo
Eeeeh malimalimali
Malingo maamaa
Eeeeh malimalimali
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Msafi Malingo (Single)
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...
YOU MAY ALSO LIKE