Jeshi Lyrics
Kwanza nashukuru mi kwa kunipa kuduru
Hii ndo nyoka huspit na mate hayakudhuru
Ah kwenye ikulu mi natesa na ndururu
And if I pay attention baba lipa ushuru
Wee iza kiatu mimi nina makwatu
Nikisema maneno huwa mawili au matatu
Mistari ni kali Pwani wanaziita chachu
Leo nakufunza kitu kati ya umbea na udaku
Ni pointless kama vidole ni mbili
Girl I make hits yaani kamili kamili ah
Nishawatega hiki ni kitendawili
And I don't do shit ka nahisi sio dhahiri
Iliki zingiri shimoni
Moshi ka hishiki kingine ki nguoni
Kingine kisoft kingine ki huleta ngori
Kingine katoshi leta beef jaza pori
Unadai ni kiki weza mamfukoni
Kama husaki jiti mi ni makoroni
Jeshi ya kubet 22 shinda kilori
Jeshi ya Konyagi binti inadi sokoni
Jeshi, jeshi
Jeshi, jeshi
Jeshi, jeshi
Jeshi, eh jeshi
(Ya wanati na ya bombe)
Jeshi yangu biggy bana huwezi ku compare
Na kama unga ngori sana buda we don't dare
Tunatringa ju tunawatesa jo out there
Na bado ukitutukana we don't care
Jeshi ina hanjam na tunapiga style
Hadi tu za gangnam man tujinyc
Tukivuta tu masha sha sha
We shtuka ukiskia tu maprakata pah pah
Balance we di, and turn up wi di
22 Bet tunaturn up the heat
Siwezi choma bet ka ni shada we lit
Mi ndio jackpot kama kawa we win
Jeshi, jeshi
Jeshi, jeshi
Jeshi, jeshi
Jeshi, eh jeshi
(Ya wanati)
Mbona unaringa na mushene ni tamu kukuliko
Ni hivo hakuna gang noma kama Ricco
Si niko na bazu sai nangoja hatukai
Jua ni since, talent yangu haipendi maverse
Ju nina jeshi kila place so mchezo sidai dai
Madem macho ngumu na wale wamevai vai
Na jeshi ya Mombasa na Kisumu hunyc nyc
Wale wa Milimani hawapendi ku ask price
Kumi! Kumekatondile
Jeshi ya Kondele huvuruga na mafinyo
Jeshi ya Mamboleo 44 ni wazito
Na lines bado mingi ka skirt ya Mukorino
Ju buda nina
Jeshi, jeshi
Jeshi, jeshi
Jeshi, jeshi
Jeshi, eh jeshi
(Ya wanati na mabombe)
Jeshi!!
(Mavo on the Beat)
Jeshi!!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Jeshi (Single)
Copyright : (c) 2021 Bazu Entertainment.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WILLIS RABURU
Kenya
Willis "Bazu" Raburu is an artist, media personality, brand promoter from Kenya. He is als ...
YOU MAY ALSO LIKE