Intro Lyrics

Hello everybody
My name is Nyokabi Macharia and welcome to Nyokabi Car Radio
And my sermon for you today is
Be you, do you
Na kama hawataweza kukupenda
Basi sakata rhumba, achilia pressure
Just like the Kings and Queens of fashion
Vibes and Vokals
Wanavokali
Skiza
Tumecome kuwachapia story
Ya who?
Story ya watu sita wangori (Waaauuu)
Wenye sauti za kumtoa nyoka pangoni
Fashion Killers
Vaibu pia hawakosi
Waliamua
Kufanya hii mziki
Wakajikakamua
Hata ka haina riziki
Na wengi wenu walithani si machizi
Sasa ngoma zetu zikichezwa, hakukalilki
Hakukaliki
Kila mtu juu ya kiti
Wamegeuza adui wao kuwa mashabiki
Wanajiita nani hao?
Wanavokali
Wanathani nani hao?
Sisi ni wale wale wakali
Aaah, mnaringa sasa?
Aa-aa, bei ndio imepanda
Itabidi mumekubali tukijigamba!
Wa-na-vo-ka-li huwanga wakali, kila wakati
Ha –Ha
I-ta-bi-di tu mumekubali Wanavokali
Ha –Ha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
WANAVOKALI
Kenya
Wanavokali is a group of six young Kenyan musicians Chep, Lena, Mella, Riki, Sam, and Ythera. They&n ...
YOU MAY ALSO LIKE