Unafaa Lyrics

Macho yameona na tena nimesikia habari njema kwangu
Moyo una shauku pia kukuona zaidi bwana wangu
Nina kiu kiu isio kata aah ni kama nipo jangwani naona vumbi tu
Nahitaji chakula cha roho yangu mi nipone kwa maana nipo jangwani
(Ninakuhitaji yeyeeh)
Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu
Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu
Hakika wewe unafaa (unafaa)
Baba sitamani nije kwako mikono mitupu nibariki nikutolee sadaka
Najua nikiwa mikononi mwako nitakua shwari nitakuwa shwari
Kwa mana ahadi zako si uongo (uongo) ndivyo hivyo unatimiza ahadi
Ndo maana sina wasiwasi ndo maana sina waasi
Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe iwe salama yang
Baba (huhuhuuuh) ukae ndani yangu nikae na wewe (babababababah)
Ni wewe unanifaa unafaa (unafaa)
We ni babaah (unafaa) baba ni wewe unastahili (unafaa)
Njoo ukate kiu yangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Ushuhuda (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
WALTER CHILAMBO
Tanzania
WALTER CHILAMBO is a Gospel Singer and Song Writer from Tanzania. He was the winner at Epic Bo ...
YOU MAY ALSO LIKE