Home Search Countries Albums

Vile Lyrics


Wakali wao Yao yao
Eh another one fi di ladies
Hahahah, Emmie
Si mnajua ni genje ni mbwaya

Bila beat baby bado we ndo melody
Sina ring mami nakupenda, nakupee lovie
Naturally beauty sura ni kamelanin
(Mavo on the Beat)

Ati vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Ati vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Vile nakupenda mimi siwezi kukutenda
Vile nakupenda kwa wazazi tutaenda
Vile nakupenda nimewacha ata Brenda
Nataka nikusuke hata mwisho wa kalenda

Cheki venye uso urembo umepaka mafuta
Na baby ukiwalk unatingisha mathutha
Baby first of all tuingie tu kwa bukla
Tusahau shida zote na mafans tukiruka

Baby leta kidole nikuvalishe hii ring
Ju leo kama choir sababu yako nitasing
Nakupenda sana uliza hata Liz
Nataka uwe wangu nikuite my miss

Ati vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Kuna vile mi napenda vitu local local
Basi come unipeleke kwa soko
Niko ndani nani usikam na kina nani eeh
Mi nataka wewe unisuke we ukuwe my boo
Forever and ever ni mi and you
Kwanza piga magoti chini miguu
Pete kidole me say "Yes I Do"

Who dis boy pon me am ni
Ukinifeel basi call me honey
Eyaa shot shot in the morning
Oooh inna di morning time

Ati vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Design ni kasupuu bnila macosmetic
Vile amerembeka anakaa mromantic
Ye ni mrembo kuliko tausi
Sura nyeupe na nywele nyeusi

Nataka nikuoe unizalie mapacha
Nataka nikusuke na uchura utawacha
After harusi my girl twende honeymoon
Tunaserereka 5 twende hadi noon

Say my name baby niite Iano Ranking
Nina gari ka V8 na lambo kwa parking
Maganji kwa wingi tunazipeleka banki
After that ni vacation sherehe

Ati vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Vile anawalk anafanya ni go crazy
Vile anatwerk haka katoto ni kashenzi
Ju mi bila you ni ka jua na mwezi
Am his baby napenda hio mapenzi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Vile (Single)


Copyright : (c) 2020 Wakali Wao


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKALI WAO

Kenya

Wakali Wao is a music crew from Kenya made up of Kim Swat and Iano Rankings....Prr Kang Kang. They c ...

YOU MAY ALSO LIKE