Lola Lyrics

This year iko aje
Tukitoka nje ni aje
Tuko rada vizii
Jadi Kaka Femi
Ukiweka emotions kwa biz
Picha itashika moto nani
Pesa ni sabuni hauskii
Nataka uzitumie nami
Lola, Lola, Lola, lola
Nimekulola lola, lola
Lola, Lola, Lola, lola
Nimekulola lola, lola
King Kaka
Niko na eyes on you utadhani bouncer
Kumbe hio topper inaendaga na trouser
Nikikukosa ni makosa
-----
------
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Lola (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAKA EMPIRE
Kenya
Kaka Empire is a record label & a music studio owned by King Kaka based in Nairobi. Artists ...
YOU MAY ALSO LIKE