Home Search Countries Albums

Hadi lini

WAHU Feat. CREME DE LA CREME

Hadi lini LyricsOohhhh Ohhh
Upendo wako umenijaa mi
Mpaka wengine siwaoni
Baby you drive me crazy
Umeniziba zangu mboni
Nimekuzoea na kila time nataka niwe nawe
Girl you're my other half
You make me complete  i always say
You're my fantasy the way you wear you're makeup is cute i see
Una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
You're my fantasy,the way you wear you're makeup is cute i see
Una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
Youre the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby youre my Nurulain na nafurahi upo nami.
Ahe ah Ahe Ahe
You're the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby you're my Nurulain na nafurahi upo nami.
Ahe ah Ahe Ahe
I wanna marry you
Mwenehu dede usiniriche mi 
Nizakuzwera ndzo ukale nami
Tulipotoka ni mbali basi penzi tulifadhili
Moyo wangu umehifadhi hisia zako baby
And I will never make you cry laika mi ni wako baby
You're my fantasy the way you wear you're makeup is cute i see
Una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
You're my fantasy the way you wear youre makeup is cute i see
Una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
Youre the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby youre my Nurulain na nafurahi upo nami
Youre the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby youre my Nurulain na nafurahi upo nami
Ahe ah Ahe Ahe
Kwako sioni scandal
Baby nipe upendo
Usinitupe kando
Beiby eehh ehhh
You're the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby you're my Nurulain na nafurahi upo nami.
You're the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby youre my Nurulain na nafurahi upo nami.
Ahe ah AheAhe
End

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2016

Album : Hadi lini (Single)

Copyright : ©2016

Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

WAHU

Kenya

Wahu, born Rosemary Wahu Kagwi on 22 March 1980, is a Kenyan singer and songwriter. ...

YOU MAY ALSO LIKE