Haga ya Karao Lyrics
Mama amejibeba kama mbaru
Akiinamaga lawama toja inararu
Nikikuitisha utasema ni madharau
But siwezi nunua mzinga ka bado sijaonja nyau
Ziii!!!
Na inakaa bei yake iko juu
Wengine huniita Scar ye tu ndo huniita kovu
Nikiilola nabaki nimediste
Hii ni mali nikigonga lazima nitaambia mabeshte
Wasichana wa Kisumu nawamarinate
Wa Nakuru hawapendi ndoa wanamarinate
Nairobi ni sumu imejaza malele
Wa Mombasa si wagumu unaenda holiday
Baby una haga ya karao
Uliniwow ukakilola ooh
Baby una haga ya karao
Uliniwow ukakilola ooh
So haga ni poa dem toka
Naks mi nasema drop it lower
Rada rada chafu I'm a dog bila collar
Fika na form polisi mi naondoka
Hapa ni moto manguo ye anatoa
Na vibe iko juu haga ni beautiful
Price iko juu take over ka ni ya coup
Mimi am just a goon , maliza na atadu
She shake your body for real
Me I fit pia in them shoes
Na imagine uko naked kwa macho
Na stretchmarks 30 kwa tako
Na thong oversize ni mbao
Hulk Horgan nirarue hadi trao
Shida ni moja
Alenjandro ni mmoja mtaongoja
Shida ni moja
Alenjandro ni mmoja mtaongoja
Baby una haga ya karao
Uliniwow ukakilola ooh
Baby una haga ya karao
Uliniwow ukakilola ooh
Baby una haga ya karao
Uliniwow ukakilola ooh
Baby una haga ya karao
Uliniwow ukakilola ooh
Haga ya karao, haga ya karao
Haga ya karao, haga ya karao
Haga ya karao, haga ya karao
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Haga ya Karao (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BENZEMA
Kenya
Benzema David aka Alejandro is a Kenyan rapper/artist from Ochungulo family which is one of the best ...
YOU MAY ALSO LIKE