Home Search Countries Albums

Waah Lyrics


Wah wah wapewe
Wah wah walewe
Wah wah wakembwe
Wah wah wabebwe

Wah wah wah wah wah wah (Wapewe)
Wah wah wah wah wah wah (Walewe)
Wah wah wah wah wah wah (Wakembwe) 
Wah wah wah wah wah wah (Wabebwe)

Waah Diamondi, she's a diamond
Vile nakachimba, vile nakadigi utadhani migodi
(Wah wah wah wah wah wah wah)
(Wah wah wah wah wah wah wah)

Mistari teleza, maskio legeza
Ku rap nimeweza, alive kwenye game hamuwezi nipoteza
Jonz kwenye flow hamuwezi kunicheza
Sir God Ebeneza, imani nawekeza
Hauoni una makengeza
Beat ikigonga nawapa na nyongeza
Nashika kila mtu Maimuna to Nyongesa
Waaaaah

Wabebe juu ka dreadi za Raburu
Nina pedi kote waa  mpaka huko Samburu 
Wabebee ki chibudi chibudee
Sherehe kusudi ni holiday
black koffe king Olamide
Bazu  napiga lugha dem
Wadau wanatesa look at them

Na ufiche mwana ju hainaga uShem
Ni mbogi ya MTU dala
Ukifoli waeza hala
Umesimama hapa uta kaa kaa
Waaa tutawaakaa

Wah wah wah wah wah wah (Wapewe)
Wah wah wah wah wah wah (Walewe)
Wah wah wah wah wah wah (Wakembwe) 
Wah wah wah wah wah wah (Wabebwe)

Waa wachu say Wabebe juu juu ka ni wazembe
Watoto walilia wembe
Dry spell meza mate (Spitter)
Mpaka nijaze maShow ka choo
Aiming at you with a sniper shot
Beat ni ngori got me hyper joh!!
Hawa marapa na madaiper rolls

Bold bigger and badder
Flow easy Like butter
Socks chini Ankara
Sipendi simu za kifala
Dready kichwa si kipara
Naroga kama na Kipawa
Shindana na Ndovu kuhara 
Karibu Mombasa Kwa Raha 
Kwetu Sultan ni gavana

Kanachukua kanaweka waah, kiDiamondi
Mm napakua wee ukileta balaa, niko na mbogi 
Kanachukua kanaweka waah, kiDiamondi
Mimi napakua wee ukileta balaa, niko na mbogi 

Daily mtabaki tu mkishangaa
Mziki commercial Mombasa to Dar
Jitie wazimu mm hapa kichaa
Wadau East tumefika mtaa
Songa mbali sisi tunapita
Squad is winning wao wako bitter
Wakibonga bado tunashika
Ngoma catchy maana inashika

Wah wah wah wah wah wah (Wapewe)
Wah wah wah wah wah wah (Walewe)
Wah wah wah wah wah wah (Wakembwe) 
Wah wah wah wah wah wah (Wabebwe)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Waah (Single)


Copyright : (c) 2021 Wadau East.


Added By : Wadau East

SEE ALSO

AUTHOR

WADAU EAST

Kenya

Wadau East (Genge La Wadau) is a  music group of five artists based in Mombasa, Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE