Home Search Countries Albums

Kanuthu

BOONDOCKS GANG Feat. JOEFES

Kanuthu Lyrics


Si ako fiti kutu na ako njiti
Kukumanga choki ni kimiti
High voltage hapa ni kurisky
Nina Arimis hapa sitaki kiki

Hakuna story ya full hapa mtakaa(Kanuthu)
Hakuna ugirimba nina quarter(Kanuthu)
Nakudai sai nina shada(Kanuthu)
Kanuthu, kanuthu, kanu, kanuthu

Hakuna story ya full hapa mtakaa(Kanuthu)
Hakuna ugirimba nina quarter(Kanuthu)
Nakudai sai nina shada(Kanuthu)
Kanuthu, kanuthu, kanu kanu kanu, kanuthu

Ka nduthi buda mi hurankadah
Paka ni bushy Musa tukiburn shada
Jogoo ya town inawika mushatha
So nikule Caro, niddishi Caro
Kuna tym nilibetty hadi Kyallo
Chali yake Chalo anakulwa salo
Mi hukemba hadi Don ka Carlos
Anadai dudu hii rungu ni kombo
Muskari mi mi hudish kombi
Gonga kigondi

Ako jam anakam na sisongi
The only motion anafeel ni kigongi
Na sibongi unless niswitch kondi
Hadi Vicky anafeel ako pon this
Ye hublow job mi nikiblow kiss
Na sipay fees siishi kwa office

Si ako fiti kutu na ako njiti
Kukumanga choki ni kimiti
High voltage hapa ni kurisky
Nina Arimis hapa sitaki kiki

Hakuna story ya full hapa mtakaa(Kanuthu)
Hakuna ugirimba nina quarter(Kanuthu)
Nakudai sai nina shada(Kanuthu)
Kanuthu, kanuthu, kanu, kanuthu

Hakuna story ya full hapa mtakaa(Kanuthu)
Hakuna ugirimba nina quarter(Kanuthu)
Nakudai sai nina shada(Kanuthu)
Kanuthu, kanuthu, kanu kanu kanu, kanuthu

Jaba yangu nifungie tu na karatathi
Nishikishe nishikishe na zile madathi
Patco ya kobole na kawada seti ndani
Vile nakachimba kanashagala ndio gani

Ikus kama tatu nazikula ki kaimati
Na ka inatupa naichuja tu kama bati
Za ketepa ya kumundo pale tu Kafati 
Na ka ni kesi ya pedi leo najifanya jaji

Maji ya uzima unaeza iita njoti
Za ukulima ndo zinalisha mapedi
Watiaji tuwakule tu mahedi
Mama pima leta ng'ang'o ndo tumedi

Aah rizla na kishamba kimeshika
Kipizza na unajaba unashikisha
Itisha kimoratish mama pima
Utabakisha nikuchimbe tu saa sita
Utapiga dimba na kisoccer
Nitakitinga tinga nitakitoka
Ka ni fielder haga nitakigonga
Shoti moja kainame nikichora
Njoti zote kazilambe kusorora
Kuna iPhone charger yangu Motorolla
Anajiita Wambo mtaa ni mkora
Nakurora nakulola

Si ako fiti kutu na ako njiti
Kukumanga choki ni kimiti
High voltage hapa ni kurisky
Nina Arimis hapa sitaki kiki

Hakuna story ya full hapa mtakaa(Kanuthu)
Hakuna ugirimba nina quarter(Kanuthu)
Nakudai sai nina shada(Kanuthu)
Kanuthu, kanuthu, kanu, kanuthu

Hakuna story ya full hapa mtakaa(Kanuthu)
Hakuna ugirimba nina quarter(Kanuthu)
Nakudai sai nina shada(Kanuthu)
Kanuthu, kanuthu, kanu kanu kanu, kanuthu

Nina ngoto mi nitacheza chobo ua
Ua nikunyoroshe ustake jua jua
Juu ya kirungu si utazua, zua 
Miaka kwanza si ni kichura
Kunywa zote itisha pension 
Ukisikia kuna tension
Unatekwa ukimention
Nina pyenga kuja session

Tufinyane nikudare nikusese
Tukimane nikugeuze ukiwa ndethe
Nikulambe peremende ya maseke
Nikunyanyishe mashada juu una teke

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Modo Man (Album)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BOONDOCKS GANG

Kenya

Boondocks Gang: members include ( Exray, Odi wa Murang'a and Maddox )  is the Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE