Yebo (Nitawale) Lyrics

Mwokozi wangu ,Nakuitaji zaidi
Na Mwoyo wangu , Unaliya Uwepo wako
Nimejalibu on my own ,Lakini Siwezi
Nakutegemeya Usiniache kamwe
Nikiwa bado napumua ,Jina lako ndilo nitajivunia
Tena Sitaki kitu ca kunikataza ,Kuwa chombo chako
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly desire
Natamani kuongozwa na Mkono wako
Wenye nguvu The Fresh Air into my heart
Amen Amen Amen
YEBO YEBO Jesu , YEBO YEBO Jesu
YEBO YEBO Ngidinga wena
YEBO YEBO Jesu , YEBO YEBO Jesu
YEBO YEBO Ngidinga wena
E’Mungu nitumikishe ,Katika fahida za mbingu
Nisimamiye vizuli ,Ufalme wako
Ndani ya Ulimwengu
Najaze nguvu nipambane, Uzaifu wangu uondowe
Nidhalawu mishale ya machungu Hadui anaonipiga
Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi
Bali sisi Tunalitaja Hilo jina la bwana
Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi
Bali sisi Tunalitaja Hilo jina la bwana
Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi
Bali sisi Tunalitaja Hilo jina la bwana
Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me, the way you truly desire
Natamani kuongozwa na Mkono wako
Wenye nguvu The Fresh Air into my heart
Amen Amen Amen
YEBO YEBO Jesu , YEBO YEBO Jesu
YEBO YEBO Ngidinga wena
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Hayayaya, Sitaogopa Kamwe Bonde Mauti
Sitaogopa kamwe Sitaogopa Sitaogopa kamwe
Kwenye Shimo la simba Sitaogopa kamwe
Katika Giza tupu Sitaogopa kamwe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE