Home Search Countries Albums

Stima na Maji

VENRICK Feat. RICO GANG, 34 GVNG

Stima na Maji Lyrics


Stima na Maji lyrics - Venrick ft Rico Gang, 34GVNG

Si unajua tu ni nani
Harry Craze, Venrick na B Razor

Stima na maji, stima na maji 
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji   

Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda
Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda

Mbazita, mbazita
Mbazita beiby gal chachisha
Fastisha, fastisha
Fastisha nikupige kichuma

Vimerunda viko fire viko maji
Mangeus wataniita mkunaji
Nawakemba waliskilia kwa tumbo
Sahii wanalia niwe wao

Zimewaka zimeshinda Kenya Power
Ziko zile ma area za Kahawa
Katoto kanapenda korosho
Nitaipiga aache kidosho

Stima na maji, stima na maji 
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji   

Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda
Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda

Stima na maji niko makali
Killbiz tuko kejani mashasha money
Mekins si tafadhali tuko kwa party
Feel this, KC, Hunters, Chrome na Barcardi

Tuko mabangi hatutambui hang'i
Tucheze kadi tukitoana panty
Sare mabati unda tu ka taxin
Mdogo mdogo tukizama huko ndani

Poko poko kugawa kila mahali
Zogo zogo kuvuruga bila shati
Maorosho wamebeba nyuma mali
Harry Craze mi ni boy wa mashinani

Stima na maji, stima na maji 
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji   

Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda
Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda

Zimeshika na zimerunda
Basi watu wako thogotho, thogotho
Basi watu wako thogotho, thogotho

Chota chota zile zimeshona
Bonda bonda cheza na mabumper
Ngoja ngoja beat ikigonga
Songa songa wacha kukalia sofa

Chota chota zile zimeshona
Bonda bonda cheza na mabumper
Ngoja ngoja beat ikigonga
Songa songa wacha kukalia sofa

Stima na maji, stima na maji 
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji
Stima na maji, stima na maji   

Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda
Zikishika ni masteam steam panda
Zikirunda ni masteam steam panda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Stima na Maji (Single)


Copyright : (c) 2020 Legco Entertainment.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

VENRICK

Kenya

Venrick Omwami is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE