Home Search Countries Albums

Linda Moyo

H_ART THE BAND Feat. NYOTA NDOGO

Linda Moyo Lyrics


Nasikia wanitafuta 
Kama wanipenda nakuomba njoo kwetu 
Na ile njia ninayopita 
Wanifatafata nakuomba njoo kwetu 
Mzee Ali alinikataza kuhusu wewe 
Na dadangu Aisha alinikanya kuhusu wewe 

Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 
Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 

Nimeambiwa 
Umesikia sifa zangu mbaya 
Kuwa mimi kinara 
Kwenye karata ya wanadada 
Ukweli usemwe mama 
Uzuri wako umezidi wale wote nimeona 
Na usifunge moyo sana 
Kwani wewe mwenyewe ndio sababu kuu mimi kupona 
Nataka kukujulisha 
Wewe ndo utanibadilisha 
Tabia zangu nitasafisha 
Mipango yote tuweze kamilisha 
Mahari mi nitalipa 
Kunyunyuzie penzi bila kupima 
Naomba Nyota yangu ufanye hima 
Usikazie moyo wako kupenda (penda) 

Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 
Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 

Ati 
Love ni drug na I think umenipatia overdose 
It's too much 
Mi staki kufall in love but nimeumwa na love bug 
I'm this close 
Late night chats kila usiku 
Nikikulenga asubuhi napata message ndefu 
Messenge ndefu ati kwani what did I do? 
Am I being too much? 
Ama I'm just overthinking niwache tu? 
Yaani love ni drug na we tu ndio foam kama top layer ya keg kwa jug 
Love ni drag kutoka hapa mpaka pale 
Kwa yule mwenye urembo imeenda shule 
Kama ni mahari nitalipa mi sipendangi vitu za bure 
Magari nje ya nyumba na machauffuer ukidai kwenda hapa kule 
Haba na haba aki ya nani si umejaza mama 
Nipe mahaba nikule 
I'm drunk in love mi siwezibleki bure 
It's too much 
Nataka kupitia kwenyu nikwambie 
Lakini baba yako Chief na hanipendi 
Amesema mimi mtaani King wa mischief 
Mama yako hatunanga beef lakini juzi bahati mbaya alinipata nikitoa kamasi bila handkerchief akanikashif 
I'm figuring 
Wacha nikuweke ring kwa finger 
Na mafisi before hawajafika Pastor ameshaawika (Hi there supuu) "You may now kiss the bride..." kwa altar 
Mambo ni mdogo mdogo ndogo 
Haina haja kuipeleka faster 

Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 
Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 
Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 
Nalinda 
Heshima yangu, Utu wangu 
Moyo wangu usiumie 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Made in the Streets/Linda Moyo (Album)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

H_ART THE BAND

Kenya

H_ART THE BAND is a music group from Kenya. the Group is made up of  Mordecai Mwini Kimeu (ASAP ...

YOU MAY ALSO LIKE