Poropate Lyrics
Kingpheezle on the beat
(Poropatate, poropatate)
Poropate shikilia ya poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropatate design ya real estate broker
Nacumulate mboga na mbese naidishi proper
Nyagu zinanitosha rombosa nafura toja
Ngoko wa Jeri anachochana toko moja
Amejibeba lola haga na mapaja ka Kibanja
Ganja shikisha mashada za wajanja
Janta shuksha chapo dondo za kibanda
Kitanda ni masarakasi na visanga
Tungi pale nyuma kama Kamene
Nakuwanga nimezikemba toka zamani
Bazenga narombosa vitu bubbling
Cargo si ya mChina imetoka Germany
Poropate poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropate poropate
Poropate shikilia ya properly
Poropate poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropate poropate
Poropate shikilia ya properly
Simama geuka msichana inama
Shika ukuta tingiza na shuga
Napenda zikipanda juu na zikishuka
Kama fundi narefusha ndani nafupisha
Vile naichapa nawacha imeraruka
Toboka geuza imejipa ka msee ameokoka
Nadai nimbatize ka Yesu river Jordan
Lakini mi ni Judas namkana bila scene
Napenda vitu biggy biggy nikipandilia
Kangeus kana ass zenye naweza kwamilia
Ata asimame mbali bado nazikaribia
Niaje maddam spank kwanza kuzisalimia
Katoto ni kahot mpaka unaweza teketea
Ju chuma ni ya doshi ndani unaweza chomelea
Nangongelea niende niache ukijikojolea
Utaiongelea mpaka sa si unaiombea
Wewe si unajua unanidai wewe
Mtoto akidai lazima apewe
Teke kuja teke na usichelewe
Wote ni wetu hakuna nguna wa wenyewe
Poropate poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropate poropate
Poropate shikilia ya properly
Poropate poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropate poropate
Poropate shikilia ya properly
Umenimurder shake it pon di party fi 18 and over
Baby sa si uwhine umeniroga, vile unadance ukibendover
We ni sanse nishike gova, niko bare na jaba
Vile kuna taste kuna ladha, ndio tukiseti madimanga
Hio haga napenda ikibum bum
Shake your bad, shake your bad
Work good girl
Make your man do de body guard
Make your man do de body guard
Katoto kamebeba si ato properly
Na vile -- to de dance no mali
Ni vile kamenishika ni ka oh my
Ukinicheki utadhani niko mae
Twende mpaka chini baby girl bogydon
Wote ni mabombo middle finger babylon
Abnormally don dada Weezy wa zion
Hii ni Silver si mabati
Hao mangati kidole cha kati
Mi ni wako we ni wangu you are my property
Siwezi kificha ni kingwai mali swafi
Ni mali swafi mali shikilia properly
Poropate poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropate poropate
Poropate shikilia ya properly
Poropate poropate
Poropate shikilia ya poropate
Poropate poropate
Poropate shikilia ya properly
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Poropate (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TRIO MIO
Kenya
Trio Mio real name TJ Mario Kasela also known as T.J (Thank you Jesus) or "Mkurugenzi ...
YOU MAY ALSO LIKE