Home Search Countries Albums

Fahak

BOUTROSS

Fahak Lyrics


Yea ei woo ahaha
Shish ya wooh yea ahha

Nili amka early in the morning
Niko sandwiched
Na ka bad bitch
And her bad bitch
Ju ya mattress on the attic
Like what’s happening
All i remember usiku
Ili kuanga ni ratish
Juu ya ratish then a ratish
Tena ratish tena ratish
Nili amka early in the morning
Niko sandwiched
Na ka bad bitch
And her bad bitch
Ju ya mattress on the attic
Like what’s happening
All i remember usiku
Ili kuanga ni ratish
Juu ya ratish then a ratish
Tena ratish tena ratish
Aah woo
Ahh ooh shit

Usi come na hizo story za going!
Vile bash ime shika nkoroi! Yea yea yeayea!
Bado yea bado endelea!Yea yea
Uwongo lazima niki choma
Like baby hiyo kuku ume pika ni proper
Someone is rolling awkward vile hiyo meno ana grind ka sawdust
Ngeus ana dai nime konda sawa we ume unga ka konan
Rubber lazima niki dunga una thani mbona earing huvaliwa na stopper
Usi come na hizo story za going vile bash imeshika nkoroi
Aah fuck it mwaga hiyo bottle ya moet
Msee anakula kinyaru someone else phone is stollen
Ahh fahak it tuta jua hiyo story in the morning
Una weza thani hiyo kikombe imejazwa
Vile msela anabonga, ana chocha
Ali sema ame vuka mpaka
Kumbe wali bakingi dormant
Me naingia form zimeshika
Na katia mthamas wa huyo boy ujifanya
Na  mpiga kiswahili lotus
After na mdinya kwa sofa
These days na smile ka joker
Kwa city ina geuka Gotham
Aah fahak it
Azi ni chafue hadi molar
Tisini ili endanga kwa mbota
Na bado hiyo kitu nili tokwa
Ahh fahak it
Version mpya ime toka
These days na smile ka joker
Kwa city ina geuka Gotham
Aah fahak it
Azi ni chafue hadi molar
Tisini ili endanga kwa mbota
Na bado hiyo kitu nili tokwa
Ahh fahak it
Version mpya ime toka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mawingu (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BOUTROSS

Kenya

Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...

YOU MAY ALSO LIKE