Na Ng'ang'ana Lyrics

Ahaa! Trio Mio
Mkurungenzi, Trouble
Mashabiki feki niko nao
Wanaoniroga niko nao
Mashemeji feki niko nao
Na madungu feki niko nao
Ila nang'ang'ana, nang'ang'ana
Ila nang'ang'ana eey eh, nang'ang'ana
Purpose ya life ni kuishi life iko na purpose atleast
Ni venye nasyk ni ju circumstances za artist ni increase
Mi sijaijishuku na stick na biro mbuku na beats
Hizo ndo vitu tatu natrust na kesi ya Mungu complete
Compete na the best na siogopi competition
Ambition ya the rest ndo fame haitoshi my position
Hao husema content ndo inauza Trio ako na mission
Condition ya Kipchoge Keino akizitoka
Reason mi napiga mboka kila day, I was born to entatain
Nikishazoza juu ya stage, mapromoter hufika bei
Si wasee hucurtain raise bora mkwanja si wamepay
Mi huwachoma bila say, design ya nyama Kikopey
Mashabiki feki niko nao
Wanaoniroga niko nao
Mashemeji feki niko nao
Na madungu feki niko nao
Ila nang'ang'ana, nang'ang'ana
Ila nang'ang'ana eey eh, nang'ang'ana
Mabaya yanakupata, usione nahurumia ah ah
Yeah ila ndani moyoni furaha wanashangilia
Na sijali zao chuki hao hasidi
Ila naamini Mungu yupo
Matendo yao nafungia macho kama popo
Mashabiki ni marafiki publicly ka unavuma
Wanafiki wanakutoka wasaliti unajituma
Kimziki ufike quality imagine ngoma zinakuuma
Market promo kuiskuma ni chini ngoma zinauma
Nang'ang'ana maisha nakazana
Wakongwe wasikae na njaa wametoka far
Na siwezi kudanganya si easy ni gwantana
Zao ni pang'ang'a ni kama wanakanjwa namna pangangwa
Watu kupangangwa na leo nawatangaza, yeah
Mashabiki feki niko nao
Wanaoniroga niko nao
Mashemeji feki niko nao
Na madungu feki niko nao
Ila nang'ang'ana, nang'ang'ana
Ila nang'ang'ana eey eh, nang'ang'ana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Na Ng'ang'ana (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TRIO MIO
Kenya
Trio Mio real name TJ Mario Kasela also known as T.J (Thank you Jesus) or "Mkurugenzi ...
YOU MAY ALSO LIKE