Home Search Countries Albums

Chubuwi Chubuwa

TRIO MIO Feat. KINGPHEEZLE, K4 KANALI, MAANDY

Chubuwi Chubuwa Lyrics


Ni mi na machupa zangu
Na shida zangu ni masha yangu aaah
Ni mi na machupa zangu
Na shida zangu ni masha yangu aaah

Na zikikujanga sana
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Hio mali si ni wet
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

Ni kama tuko maji
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Chubuwi (Si unajua tu ni nani)
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

[Harry Craze]
Zikikuja sana, zinanipata
Niko handas hadi nabonga kijaka
Manzi akikuja sana mi nampata
Namfyeka hadi nashona kiraka

Chubuwi chubuwa, ako fiti nyakua
Mi napita nayo buda mi staki kujua
Chubuwi chubuwa si tunakara mawaters
Tubleki hadi tuanze kuota

Brikicho, brikicho banture banture
Tingiza madiabz hapa na kule, na kule
Hakuna cha kesho jo ni today today
Ria, ria ria ria

[Maandy]
Kabaya Chubuwi duff mpararo
Niko hapa na kamnyweso
Nikiset si utaskia urao
Looku napiga ni ka label

Ikifika weekendi najua ni Konyagi
Najua ni maHenny location ni bar
Na kama sina penny nawamocho na mbogi
Kaa rada ni safi nachoma vile inafaa

Nitadoz nikidedi, sai nakula hepi
Sai nakula life na mkono kwa sinia
Kwa meza ni makali masponyo fulani
Walai leo natoka nikikuruma

[K4 Kanali]
Na zikikujanga sana
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Hio mali si ni wet
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

Ni kama tuko maji
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Chubuwi
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

[Trio Mio]
Haka kakitu hakana manual unaninauwo
Nina rungu inatoshana na za mandauwo
Na kama ibada nazamisha ndani ya nyau bro
Chubuwi mafuriko on the down low

Ndani ya wabling kama --
Niko maskani ninatry kukill hunnie
Handas majani ni ya kuneutralize azin
Ka zimerunda unaskia kichwa iko bazin

Steam juu cheza ka Kang'ethe
Mzinga bado round 2, ushabanjuka ndethe
Hizo sa ndo za uduu watu hufinywa ndeke
Unaskianga tao blue ulichunjwaga teke

[Mastar VK]
Wewe mi hunibamba nikivutaga kisense
Zihunimada ka ni hips ziko sexy
Double tap kwenye mbota za mneti
Ye hupenda kurombosa hawezi post akiketi

Kwa DM nikislide atajipa
Twende live tukismile pale Insta
Kunifollow kila baze mpaka Twitter
Mi hufanya hadi anawet juu ya venye namshika

Aiii Chibudi, Chibude
Nikizama chubuwi chubuwa
Ye ndo hufanya nasahau jina yangu
Akiniita daddy si nitaitika

[K4 Kanali]
Na zikikujanga sana
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Hio mali si ni wet
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

Ni kama tuko maji
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Chubuwi
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

[Kingpheezle]
Yeah doba kali wananauwo
Sio wengine mbali ni sisi
Niko na mbogi ya mafisi
Utasleki ubebewe
Hawa mababe wakuwekee mchele
Sijui bado unanauwo
Ju makoro zimerunda
Kwako moyo unadunda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Chubuwi Chubuwa (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TRIO MIO

Kenya

Trio Mio real name TJ Mario Kasela also known as T.J (Thank you Jesus) or "Mkurugenzi ...

YOU MAY ALSO LIKE