Cheza Kama Wewe (Remix) Lyrics
Aha Trio!!
Man a bad man ting
Nina kakitu kwa mbosho nkutolee form
Kuja na mavitu vidosho macorazon
Choche chipo mwitu na posho nimechoma pork
And then mi nitakuja na chumvi na nyongi ya juzi
Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokie
Nitacheza kama mimi
Alafu nikupe through pass cheza kama Lewandowski
Ivo ndo si hucheza mjini
Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe
Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe
Trio nacheza kimimi mdhamini sipini
Na ka unadai moshi utazivuta kote chimney
Limit ya Fuliza imeongezeka niko machingli
Naeza shika jug na kanuthu niskie tifi
Nacheza kiroro, nacheza ki-wingman
Naeza fika soko nishike ki G bag
Turirime mragi meditation na ki FiFa
Shuksha kibandaskii chapo ndondo inaeza jipa
Rada na madenge, vuta hizo matenje
Usichomange kamenje, huskii niko mawenge
Unaeza nyonga sana, mkono ianze kumea skwembe
Manze kakiivana si napigana tu vijembe
Peleka na mtrrrr
Peleka na mtaratara
Usilete hapa machrrr
Manguna vitu chwara chwara
Mi huteka ma prrrr
Mamndoko huwanga maprincess
Magyala ni wapeng
Wanafaa kupost-iwa kwa Pintrest
Form !!!
Manze si utuitie sherehe
Leo tupige kelele
Raha unajipa mwenyewe
Si unichome uko na ndom
Tukiwashe tupepeee
Tukate maji leo tulewe
We bazu cheza kama wewe
Mejja chezza kama wewe!
[Mejja]
Okwonko! Niko Calif nashikisha
Na mamorio tukichoma shisha
Kuna wale hushukisha
Wale madem hujifanyaga madiva
Ka huyu hapa anaringa
Na hizo lips ni ka anapiga binja
Bade na jiste far away
Wale wamebaki tupige sherehe
Manze kaa rada ukiwa dunda usilewe
Mafisi wako ready msupa anyemelewe
Ukiwa dunda ni ubebane
Ama ubebwe ama ubebewe
Ukiwa dunda ni ucheke
Uchekeshane ama uchekelewe
Yoh manze zimeriet
Ah, nakwambia zimeshika
Nakuta nina shash nani ako na rizla
Mi naskia kukiseti tukiskiza masizla
Leo watu ni walewe
Bazu niko na pesa mingi
Ule ni msee wa mayai
Muite umwambie agonge mbili
Ndio nijenge mwili nikiteka msupa
Nicheze ka mimi
Yoh wacha nicheze ka mimi ucheze ka wewe
Tutafte ya mzinga manze jo tuchange
Tulewe tulewe, tulewe, tulewe tubebwe
[Trio Mio]
Form !!!
Manze si utuitie sherehe
Leo tupige kelele
Raha unajipa mwenyewe
Si unichome uko na ndom
Tukiwashe tupepeee
Tukate maji leo tulewe
We bazu cheza kama wewe
Exray chezza kama wewe!
[Exray]
Naeza fanya ngeus atoke chingri
Nyoka hutolewa na ulimi
Whisper-- madam talk chini
Nikufikishie hio habari ya mjini
Yoh nafika ndani ya bash na mamiwa
Kachumbari raru na dania
Ukifika solo ka umeiva utavamiwa
Napendaga nyama na maziwa
Mafuta ya ng'ombe si ya kamua
Naonanga wavulana wakinunua
Na wote wanasema wamegundua
Walilete maji wakasema itatambua
Ah cheza kama wewe yoh
Mi hucheza na mambwegze
Cheza juu ya genje
Hatuchezagi na hio rende
Mi hucheza na mangwete
Huskii wewe
[Nelly the Goon]
Tunapendaga wote color ya Akothee
Na Zari hatujali ndo watu wasinyonge eh
Maji maji ka sose ya mwitu
Chini ya maji ka blink ya mchinku
Alinona ju alishiba na ma p2
Piga waya ka pad ya PS2
Ebu mwambie kwanza aspell tenitabis
Ama anajua tu smell ya canabis
Frenchkiss mpaka tujipate Paris
Waganis waganis si mayadis
Mi nina mafans mpaka bonde Marsabit
Na mapilot na iwake ndani ya cockpit
Mi si bigfish mi ni sea lion
Badmind babylon hadi Zion
Sapa sapa haiwezi miss nyama (Nyama)
Makaa makaa bei ghali si nyanya
Na Jamaica ni makoro si Corona
Na mambichwa naziseti kwa keroma
Na sijali ka unasema mi nachoma
JU nachoma mpaka nifike Barcelonaaaaa!!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Cheza Kama Wewe Remix (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TRIO MIO
Kenya
Trio Mio real name TJ Mario Kasela also known as T.J (Thank you Jesus) or "Mkurugenzi ...
YOU MAY ALSO LIKE