Home Search Countries Albums

Were Lyrics


Wacha tupige story ya dem flani mbaya
Weka chini, weka chini, weka chini...iyee
Cheki nako, cheki nako, cheki nako...iyee
Nipe charger, nipe charger, nipe charger...

Nyonya were aii, gusa were
Rudi nyuma pose alafu kalia were
Huoni jokes ya were, aii itisha were 
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Alright nyonya were, gusa were
Alafu rudi nyuma girl pose kalia were
Aii doctor were, aii teacher were
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Unafanya vitu hawawezi fanya
Na kwa machupa we ni Coke, wao bado Fanta
Happy new year wao bado Santa
Ah we ni teacher, teacher, hao bado leaner

Kenya ina rangi, nionyeshe place naeza paka
Na nina panya naeza taka place ya kupaka
Iko juu? Wacha nifanye basi kama dada
Kama ni nguvu mi ni gym, feature gal a data

Weka chini, weka chini, weka chini...iyee
Cheki nako, cheki nako, cheki nako...iyee
Nipe charger, nipe charger, nipe charger...

Nyonya were aii, gusa were
Rudi nyuma pose alafu kalia were
Huoni jokes ya were, aii itisha were 
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Alright nyonya were, gusa were
Alafu rudi nyuma girl pose kalia were
Aii doctor were, aii teacher were
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Umacita, hands on my back, anagwara me
Mi hapana Yesu, sikuhurumii
Nilikutuma mi, sikukuita mi 
Okey, ni ite T, TTTTT

Mama load umeoverload
Pole pole una haribu roho
Unanipa taabu ka nimrod
Nita spoil the child niki-spare the rod

Weka chini, weka chini, weka chini...iyee
Cheki nako, cheki nako, cheki nako...iyee
Nipe charger, nipe charger, nipe charger...

Nyonya were aii, gusa were
Rudi nyuma pose alafu kalia were
Huoni jokes ya were, aii itisha were 
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Alright nyonya were, gusa were
Alafu rudi nyuma girl pose kalia were
Aii doctor were, aii teacher were
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Usiguze ulipoguza nitasusu
Usiguze ulipoguza nitasusu
Ukiguza, nitasusu

Usiguze ulipoguza nitasusu
Usiguze ulipoguza nitasusu
Ukiguza, nitasusu

Nyonya were aii, gusa were
Rudi nyuma pose alafu kalia were
Huoni jokes ya were, aii itisha were 
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Alright nyonya were, mmh gusa were
Alafu rudi nyuma girl pose kalia were
Aii doctor were, aii teacher were
Ntakubatiza utajua huyu ni father were

Alright nyonya were, mmh gusa were
Nyonya were, aai gusa were
Nyonya were, aai gusa were

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Were (Single)


Copyright : (c) 2019 Td@t


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TIMMY TDAT

Kenya

Timmy Tdat  is an award winning recoding and songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE