Accueil Recherche Pays Albums

Usinipangie

THEE PLUTO Feat. WYSE

Usinipangie Lyrics


Bando langu
Simu yangu
Sa kwa nini unipangie cha kupost
Siku follow
Unanifollow
Kwenye page yangu, una comment matusii
Kama pesa si ni pesa zangu
Kama shida niache na shida zangu aah
Kama mpenzi
Ni chaguo langu
Inakuhusu nini niache na maisha yangu eeh

Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu

Tumbo langu
Njaa yangu
Sa kwa nini unipangie chakula
Kiu yangu
Koo langu
Inakua vipi unipangie cha kunywa
Unanijua kuliko ninavyojijua
Una story zangu ambazo sizijuiii
Eti hunipendi
Kwani wewe mungu
Em toka hapa

Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu
Namtekenya
Namshika kwenye mbavu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Usinipangie (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

THEE PLUTO

Kenya

Thee Pluto is an artist/social media infuencer and a brand ambassador from Kenya signed under S ...

YOU MAY ALSO LIKE