Umebant Lyrics

Ukilia juu ya mapenzi, umebant
Kuuliza do you love me, umebant
Ukicall kama umelewa, umebant
Basi kila mtu hapa tumebant
Ukitext wa Kwanza, umebant
Ukikosa ujanja, umebant
Ukiniomba namba, umebant
Basi kila mtu hapa tumebant
Sweziamini nilisimp like dat
Kuforce vitu mimi tena I can't
Bar so low nilipanda adi matatu
Kufika kwake kumbe tulikua watatu
Ati babe si vile unafikiria
Fare ni yangu bado anani haribia
Walae nijikute nijipate nimerudia
After mamangu issa man that I fear
Kujiexplain hukuaga in vain
Kama hainihusu
Lemi stay in my lane
Ukilia juu ya mapenzi, umebant
Kuuliza do you love me, umebant
Ukicall kama umelewa, umebant
Basi kila mtu hapa tumebant
Ukitext wa Kwanza, umebant
Ukikosa ujanja, umebant
Ukiniomba namba, umebant
Basi kila mtu hapa tumebant
Less than 5 inches umebant
Nairobi ata walimu Wana learn
Yako Sio ndefu hauna ndevu hauna fans
Hupigi luku hukuli views Na bado huwezi dance
Amka uende ufanye kazi failure
Length times width huwezi nkosa area
Utabant magoshodo ukishawadedia
So funga Nini we Ni Nini unaeza tuambia
Kujiexplain hukuanga in vain
Ndo maana Sina mtu Wa kushare this pain
Ukilia juu ya mapenzi, umebant
Kuuliza do you love me, umebant
Ukicall kama umelewa, umebant
Basi kila mtu hapa tumebant
Ukitext wa Kwanza, umebant
Ukikosa ujanja, umebant
Ukiniomba namba, umebant
Basi kila mtu hapa tumebant
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
TESLAH
Kenya
Teslah is a Kenyan musician. She is currently working on the music career as a profession, learning ...
YOU MAY ALSO LIKE