Home Search Countries Albums

We Ulisikia Wapi

T3PRO Feat. TOXIC, GANO, SELEMANI BUNGARA

We Ulisikia Wapi Lyrics


We ulisikia wapi?
We ulisikia wapi?
We ulisikia, we ulisikia 
We ulisikia wapi?

We ulisikia wapi?
We ulisikia wapi?
We ulisikia, we ulisikia 
We ulisikia wapi?

Kutwa season za Kikorea
Wasemwa wajifunza 
Kuwekea kusu kutuma ya kutolea 
We ulisikia wapi?

Unabii kitenga uchumi 
maandiko siku hizi wanabuni 
Mv filo kwenye sabuni
We ulisikia wapi?

Na adanga si umefulia 
Majita wanakwambia
Ukimpa mimba atatulia
We ulisikia wapi?

Lulu Diva hata hawezi kuchemsha supu
Ishatumika hadi na kutu
Mali milioni subutu 
We ulisikia wapi?

Toka Vanessa amekuwa na Romeo
Hata nyimbo zake sizioni
Au wenzangu nyi maredioni
We ulisikia wapi?

Wapinzani bado taabu
Life la ajabu
Usishangae hata Mange 
Kampigia kura Magu

(Kidogo kwa mbali)

We ulisikia wapi?
We ulisikia wapi?
We ulisikia, we ulisikia 
We ulisikia wapi?

We ulisikia wapi?
We ulisikia wapi?
We ulisikia, we ulisikia 
We ulisikia wapi?

Utajirike bila bidii
Kwa utapeli wa hio hela 
Tuma kwenye namba hii
We ulisikia wapi?

Hili ndo jibu atajibu mlevi
Ukimwambia pombe ndio 
Inayofanya kujenga huwezi
We ulisikia wapi?

Hii gari ya soda imepata ajali
Wametafuta wajalio
Na kila mahali utaskia
We ulisikia wapi?

Dada mapenzi yakimtesa
Mwanaume yeyote mbwa
Hivi mwanaume anayebweka
We ulisikia wapi?

Haya si ndo mambo ya kunichuna
Ghetto nimekugusa nywele
Tu umeguna hivi we utamu
We ulisikia wapi?

Haha kweli maisha kwenda na mida
Toka Corona imeingia 
Hivi zile habari za nida
We ulisikia wapi?

We ulisikia wapi?
We ulisikia wapi?
We ulisikia, we ulisikia 
We ulisikia wapi?

We ulisikia wapi?
We ulisikia wapi?
We ulisikia, we ulisikia 
We ulisikia wapi?

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : We Ulisikia Wapi (Single)


Copyright : (c) 2020 No Excuses


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

T3PRO

Tanzania

T3pro  is an artist from Tanzania. Co-founder | @tornadovibez ...

YOU MAY ALSO LIKE