Amini Lyrics
Ukifika kwa Kona
Ndo mazuri utaona
Ndo utukufu wake
Ye hawachi Wana wake
Ata wakati unadhania
Maisha yako ni bandia
Shida zakuvamia
Amini zaidi mara Mia
Amini amini eeh
Amini amini eeh
Omba na ulale
Mazuri ukuja ngware
Omba na ulale
Mazuri ukuja ngware
Ni ngumu kuamini matime
Unaona Kama anatake time
Hausongi una mark time
Atakuja na yake time
Nimesoma bibilia na nimeona
Wana muamini anawaona
Nimesoma bibilia na nimeona
Wanao muamini anawaona
Amini amini eeh
Amini amini eeh
Omba na ulale
Mazuri ukuja ngware
Omba na ulale
Mazuri ukuja ngware
Wanao muamini eh Hawa haibiki milele
Wanao muamini eh Hawa haibiki milele
Hii ni yako Kama unapitia kitu yoyote
Unadhani ni ngumu unadhani ni kubwa Sana
Sio shida yako ni shida ya mungu
All you have to do is take it the lord in prayer
Omba na ulale
Mazuri ukuja ngware
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Amini (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MOJI SHORTBABAA
Kenya
Moji Shorbaba is a Kenyan gospel artist from Kelele Takatifu which consist of Didi & Moji Shortb ...
YOU MAY ALSO LIKE