Home Search Countries Albums

Haleluya Lyrics


Kila siku kuamka ni neema
Si kwa zangu bali zake rehema
Baraka zangu more nikihesabu mi nahema
Mwana wake mi nakiri, kimistari mi natema

So count your blessings name one by one ah
Count your blessings  sing Lord has done now
Na kama blessings si ati najigamba
Ndo maana mi naflow kwenye beat najibamba
Mbona ndoto yasifia penye nia pana njia
Zidi songa vumilia baraka zako ziko near na
We shukuru kidogo ulicho nacho
Ridhika sema asante usiringie wenzako

Haleluya mi nasema Haleluya
Haleluya, sema tena Haleluya
Haleluya kila mtu Haleluya
Haleluya ha Haleluya

Maisha ni mtihani kila siku taniua
Mambo magumu kwa kweli tunapitia
Life ni pandashuka man kujikakamua
Siri ni kuwa strong hakuna kudidimia

Ye ni nuru kwenye giza
Akisema ndio hakuna atakaye pinga
Nikiwa ndani yake mi siwezi taabika
Naamini nikimsifu ananijua vyema

Is a master --
He give and take away
Hauwezi kumcompare yeye hananga compare
Hafananishwi na chochote yeye si kama sanamu
Wazo lake ni beyond zaidi ya mwanadamu

Haleluya mi nasema Haleluya
Haleluya, sema tena Haleluya
Haleluya kila mtu Haleluya
Haleluya ha Haleluya

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Haleluya (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

STIVO SIMPLE BOY

Kenya

Stivo Simple Boy real name 'Stephen Otieno' ( born in 1990 in Oyugis, Homabay County)&n ...

YOU MAY ALSO LIKE