Home Search Countries Albums

Full Degree

MBOGI GENJE

Full Degree Lyrics


Zimenyanya nimepandisia sigla
Looku diriba nimepiga madicla
Mbegetha nimegwaria ni ka kibla
Topshotta kuwawacha kwa madibla

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini trrrr

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

[Smady Tings]
Tunazidi zidi hard
Street imekuwa dimanga za kiJihad
Tuko yard MG tupate tukiziburn
Vitu tumesunda kwa kinena ni mashang'

Time ya bako field maga imemuokre 
Diss MG huwezi digi shokde
Na marima tulibakisha mashoste
Tumedunga ma origi nyi mamboste

MG kila zing ana gadget 
Topshotta ju sijai miss target
Leta ufala tutakusunda kwa gundu
Mbuku rieba mazishi bungu

Wakibanja za ufala wataganda
Nawatrace na kivitu nawashanda
Nawaachia mbaru ulimwi na maganda
Nanyambisha za kupatch nikikacha

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini trrrr

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

[Guzman]
Holy fruit nishariau ubado peace
Ka ni badting ya weri siwezi messing
Ni ile day wanajikuna maushuru
Snady tii maithaa ni ya nduru

Ni mabazinga wa wale wapyeng'a 
Si ndo makweng'a na tunawatepa
Wenye presha kuwaacha na imani tu
Shell shack, shell shack tukizama tu

Mboka yangu we vie tu mdiu
Siaka mbaya ni ka kunapigwa riu
Hii design tunakam na hii slang
Tulijam tukaze kufika shang'

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini trrrr

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

[Militan]
MG down juu ni mbatco
Militan nawastrike ki Afgan
Saruku ma informer kuwanasho
Rima siwezi boss bila toras

Nikivuta haiwezi pullup bila dibla
Sickro kwa mashang' haiwezi kwara
Muokalise mtu chwez siwezi zunda
Uzre maguto ni olipa

Wanabaki walidhani ni rahisi
Govana hatubanji mara mbwegze
Gok sana utalinki na mbegega
Nikiriet kuwakang'a kuwashona

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini trrrr

Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Full Degree (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MBOGI GENJE

Kenya

Mbogi Genje also known as "Sheng Masters" is a group of  three artists from Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE