Home Search Countries Albums

Dear Stranger

KING KAKA Feat. XENIA MANASSEH

Dear Stranger Lyrics


You should know that I would be 
Right here for you, for you
Now that I'll be there to watch
Your dreams come true, come true  

Dear stranger ndio nimeingia kwa booth
Hii mdomo hai-shake so nitabonga the truth
The wall iko na new photos sijui ka mmenotice
Lazima waenjoy vita ndo waenjoy for peace

Dream is born na womb ni ya Rabbit
Lupita kuongelea hardwork kwa speech ya dreams are valid
That chapter is done sitadeny ki u-Petro
Zile favours nimewaletea sijawai itisha ata kredo
And I never ask anything in return both
All I wish for ni tuwe na blueprint ya growth

Tulifurahi aje Mavoko alichukuliwa na Wasafi
So talented siamini walikutema Wasafi
You called me time mlikosana na Wasafi
Talk to Dia hope mliachana roho safi
Avril farewell naona mtoi amekuwa anabonga
I wish you nothing but the best vile miaka inasonga

You should know that I would be 
Right here for you, for you
Now that I'll be there to watch
Your dreams come true, come true  

We are created to disagree, no need lawyer deal na case
Timmy congrats on your headphone deal na pace
Plans tulikuwa nazo hope utafollow mdogo
Si ukumbushe watu vile nilidesign hio logo

Vile nilishare watu walisema thats stupid
Nilikuwa nimebeba talents nimebeba arrows ka cupid
Congrats on your album hatua karibu ligi
Hizo hatua umechukua si ni biggy biggy

Just the other day nilicall Jalas tupush digi digi
Na ni welcome kwangu mplay na Irosh na Jeezy
Family bado ndio order of the day
Never had bad intentions ka song ya Dre

Na vile floor ilicrack na sina simiti iniume niaje
Move to other things ilibidi niwaache
Hii glass either jua ni half 
Fi congrats on the baby you are about to have
Nilishaipea compass naomba uende mbali
Juzi tu ndo tulishoot video ya ruka na Khali

You should know that I would be 
Right here for you, for you
Now that I'll be there to watch
Your dreams come true, come true  

Zile magrains ninazo mara moja haiwezi ficha
Doc anasema ni vile nimebeba crown kwa kichwa
Pascal after Selina lazima album yetu
Actor mnoma wakuone ka singer na pray tu
Let it run in your genes na isifail tu
Vile niko na midomo mingi kwa masikio waambie wabrush
Waambie vile uko kwa adioremy na account iko na cash
Promise ziko kwa contract na pia kwa midomo

Ata uhame leo sitawai wacha kushika mkono
Messages mnatuma saa zingine na blueticks
Sunday mi huzirhyme isha na blue jeans
Oya nani and your father got sick
I made sure uko na doh ya hosi
Wacha vile sai uko kwa circles saying hazitoshi
Nasukuma sukuma vako ya Matonya 
Yaani sai mtoi anasahau matiti alinyonya

My view haitaja ichange niliona kitu special
By the hand that feed you na kuna lunch kesho
No bad blood tuingie studio tukachora maline
Dear friend nimekumiss nicall sometime 

You should know that I would be 
Right here for you, for you
Now that I'll be there to watch
Your dreams come true, come true  

You should know that I would be 
Right here for you, for you
Now that I'll be there to watch
Your dreams come true, come true  

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Dear Stranger (Single)


Copyright : (c) 2019 Kaka Empire


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE