Home Search Countries Albums

Mungu Mwenye Nguvu

SOLOMON MKUBWA

Read en Translation

Mungu Mwenye Nguvu Lyrics


Halleluya
Ndugu yangu Biblia inasema
Waabudio halisi watamwabudu Bwana
Katika roho na kwa kweli

Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako
Ukiwa ndani ya basi unasafiri
Ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako
Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana
Tumwambie wastahili uko mwenye nguvu

Ukiwa uliamka asubuhi
Na haukumwambia kitu Mungu
Ni wakati wa kumwambia Bwana
Utukuzwe, uinuliwe

Tujiunge pamoja kwa wakati huu
Tumwambie Bwana "Wastahili"
Ikiwa uko katika maombi ya kufunga na kuomba
Hebu tujiunge pamoja, Twende Haleluya

Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa Milele
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
Eeh Eeh Ni Mwenye nguvu, Ebeneza Baba wa milele
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu, Baba wa milele yote
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
Nguvu zako zashangaza Dunia
Uliumba mbigu pasipo nguzo hewani Baba
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)

Uko mwema, Bwana
Matendo yako ni ya ajabu sana aaaaah

Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo Baba
(Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo)

Nikikosewa na maisha
Wanipa tumaini la kupata maisha Baba
Wajapo nicheka majirani wangu
Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh

Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo

Wanipa tumaini la maisha Baba yangu o duniani
Natembea nawe Baba yangu
Hujaniacha mimi o Baba

Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo

Wanipa tumaini la maisha 
Baba yangu oooh duniani
Natembea nawe Baba yangu
Hujaniacha mimi, ooh Baba

Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo

Kulala, kuamka
Ni kwa neema yake Mungu, ndugu yangu
Ulimpa mungu nini wewe
Kusudi uwe jinsi ulivyo?
Usijivune bure ni neema yake Baba

Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo

Aiiiii, Yesu, nani kama wewe Bwana
Sina mwingine kukuliko wewe
Mfalme wa dunia ni wewe
Mwanzo na mwisho ni wewe Baba aaa oh Yesu

Baba utukuzwe, Baba uinuliwe, Ebenezer
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe daddy daddy
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe, 

Rafiki yangu, I love you, I love you
I love you Baba yo
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe

Maneno yako yafungua watu
Yafungua watu, yafungua watu
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe

Sitasahau ulikonitoa
Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
Oooh oooh, uhimidiwe Yahweh
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe

Rafiki yangu nakupenda sana
Nakupenda sana, nakupenda sana Baba eeh
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
Rafiki yangu I love you, I love you
I love you, I love you
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe

Sitasahau ulikonitoa
Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
Maneno yako Yana nguvu sana
Yana nguvu sana, Yana nguvu sana Baba

Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
Kwa neno lako Lazaro kafufuka
Kafufuka, Kafufuka Yesu wangu
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe

Rafiki yangu nakupenda sana
Nakupenda sana, nakupenda sana Baba
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe

Oooh oooh, Baba, ooooo, Baba
Ooooo Baba, mmmhhh, noono, ooooo
Baba yoyoyo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mungu Mwenye Nguvu (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SOLOMON MKUBWA

Kenya

Solomon Mkubwa is a Congolese gospel musician who is based in Kenya. He is also a born again evangel ...

YOU MAY ALSO LIKE