Kanyaga Twende Lyrics

Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Tutakunywa tungi tumewaka
Tunasaka pisi kali za kung'ata
Mtu mwenye kiuno cha kunasa
Nataka dem mwenye figa ya kupapasa
Kisha twende naye chocho
Tukaziamshe popo
Nataka bonge la toto
Kanyaga twende kimoko
Cheza amapiano, twende
Ruka tuone, twende
Cheza amapiano, twende
Ruka tuone, twende
Twende, twende
Twende, twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Cheza amapiano, twende
Ruka tuone, twende
Cheza amapiano, twende
Ruka tuone, twende
Cheza amapiano, twende
Ruka tuone, twende
Cheza amapiano, twende
Ruka tuone, twende
Cheza amapiano, kang kang kang ka
Ama cheza vipi, kung kung kung kung
Twende kwa kushoto, kang kang kang ka
Twende kulia, king king king king ki
Kushoto, bam bam bam bam ba
Kulia, keng keng keng keng keng
Mbele nyuma, king king king king
Kuinama, ...
Twende wote mbele, twende nyuma
Wote twende mbele, rudi nyuma
Wote twende mbele, rudi nyuma
Twende mbele, rudi nyuma
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Kanyaga twende, kanyaga twende
Twende, twende, twende, twende
Twende, twende, twende, twende
Watoto wa K-Town Kigoma ni noma
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kanyaga Twende (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE