Mhhh Lyrics

Aahhh
Ishuuu
Mazegele bou
Na chino wanaman
Ahh chinooo
Suti toega
Eyoo trone
Oyaa nimekutana na bonge la demu
Bonge la shepu man ila visigino (mhhh)
Tetanus katoboa pua na masikio (mhhh)
Nikamwambia we bibie
Nataka kutikisa nyavu ka didier (mhhh)
Big yes akanipa ruhusa nikatitie (mhhh)
Zile kirikikiki usiku tuna kwichikwichi (mhhh)
Mina uchu kafisi nikinogewa sijichi (mhhh)
Si nikakosa usingizi
Mwendo wa kubinya binya matikiti (mhhh)
Katataka pipi nikakatafuna kama big g
Oya usiku kucha
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
(eyoo trone)
Ishuu
Ah chinooo
Ehh
Alijifanya kichecheche
Kumbe mi mwenyewe nina makeke
Nikabadilika kama machete
Nikampa rungu la kipepepepe
Alileta za kuleta
Akauliza vipi nikasema tunakesha
Chino invisible ni mwendo wa mateka, teka teka
Haina kushesha ishuu
Alileta za kuleta
Akauliza vipi nikasema tunakesha
Chino invisible ni mwendo wa mateka, teka teka
Haina kushesha ishuu
Zile kirikiki
Usiku tuna kwichikwichi (mhhh)
Mina uchu kafisi nikinogewa sijichi (mhhh)
Si nikakosa usingizi
Mwendo wa kubinya binya matikiti (mhhh)
Katataka pipi nikakatafuna kama big g
Oya usiku kucha
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
Ohooo mhhh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Mhhh (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
SIR JAY
Tanzania
Juma Saleh Nzige ( born in 19 January 1996) popularly known by his stage name SIR JAY is a Tanzanian ...
YOU MAY ALSO LIKE