Home Search Countries Albums

Stoko Lyrics


For real! Yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah

Kwa Benzo mdogo mdogo
Kenya imejaza ma pothole
Naenda kuiwasha kidogo
Usoro ni mingi napitia maorosho
Ndo wifey ametoka kwa soko amekuja na stoko
Wako ameshinda kwa social
Na uko msoto siku hizi ni poko

Hater anashikwa kilocal
Kia UG kiBongo
Nilimpata akitoa lock
Mairungi kinongwe
Ngeta anapigwa mangoto
Huna pesa na umeshinda kwa local

Unasumbua watoto wadogo
Ulifanya karibu nipigie mapopo
Zii zogo ni zogo kuja umworoto
Siku hizi wanasema ni Portmore

Nimekula kokoto kushinda msoto
Magoro zinapigwa makoto
Baby jichunge hii kitu ni nono
Isitume niruke libobo

Naseti kikolo zifike kwa bongo
Alafu nadunga ya ngolo aaah
Kwanza umekuja na mbonoko kuteka ngoko
Mbleina wa IG na mamboto za Oppo

Mi kukumbuka ilikuwaga ni ndoto
Manze mi hujieka lonso
Vijana wa YOLO there is no tomorrow
Mrenga twende kuweka offroad

Baada ya ngasha paka sabuni sinanga lotion
Inawasha nina kiburi sina emotions
Msupa kigoco lakini vile ameng'ng'ana na ngoso
Napiga mhuri vizuri hii kitu ni bombo

Kwa kioo nacheki Livondo
Amebeba mang'ondo kwa kiondo
Kidosho amecheki Rong Rende ndio logo
Mpaka yaani joto ikadonjo

Kabla ya jaba na jojo
Lazma nichafuage chapo na dondo
Tabla najaza na kongo
Nawasha ganja nitoe usoo mmh

Hapa utapewa msomo
We si baraka mama yako ni muongo
Ita mroro weka dombolo before wafike nimepika raw
Kiboko yangu si normal
Anaitaka na ati anaitaka raw
Ati alale na aende tomorrow
Pole baby kwangu huwezi doz

Hapa utapewa kisogo
Mbona mbona unapendaga maimbo
Alafu unakuja na usoro
Na kelele mingi ni kama dingoing'o

Nazozanga kingsize solo
Thika Road hapo mbele ya Ruiru
Mr Riz mangwai you don't know
Na nitaendelea hivyo hivyo

Kwa Benzo mdogo mdogo
Kenya imejaza ma pothole
Naenda kuiwasha kidogo
Usoro ni mingi napitia maorosho
Ndo wifey ametoka kwa soko amekuja na stoko
Wako ameshinda kwa social
Na uko msoto siku hizi ni poko

Hater anashikwa kilocal
Kia UG kiBongo
Nilimpata akitoa lock
Mairungi kinongwe
Ngeta anapigwa mangoto
Huna pesa na umeshinda kwa local
Unasumbua watoto wadogo
Ulifanya karibu nipigie mapopo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Stoko (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SCAR MKADINALI

Kenya

Scar Mkadinali is a Kenyan hiphop artist from Wakadinali.The biggest hiphop group in Kenya base ...

YOU MAY ALSO LIKE