Nakuthamini Lyrics
Nimesubiri siku hii
Nikuonyeshe jinsi mimi
Navyokupenda aah
Baby nakuthamini
Nimesubiri siku hii
Nikuonyeshe jinsi mimi
Navyokupenda aah
Baby nakuthamini
Aah eeh....
Nipo magotini dua nalipiga kwetu ajili
Nianzapo safari, mguu wa bi flani
Nisiwe wa mazoea, wa kukudhania
Siku zote nikufae kukupa heshima
Kwa wale wanisindikizao msilie, msilie
Hamnipotezi mwanao twaja wawili, double double
Na kwa zile fadhila walizonifunza
Mie nitakufunza
Nimeisubiri siku hii (Subira subira subira)
Nikuonyeshe jinsi mimi (Jinsi jinsi jinsi mi)
Navyokupenda aah (Nakupenda)
Baby nakuthamini
Nimeisubiri siku hii (Subira subira subira)
Nikuonyeshe jinsi mimi (Jinsi jinsi jinsi mi)
Navyokupenda aah (Nakupenda)
Baby nakuthamini
Jukumu la kukutumikia napokea
Bidii nitakutilia ahadi mi nakupatia
Na kwako tabasamu itakuwa ajira
Kwa kila awamu nitakuhakikishia
Kwa wale wanisindikizao wajue, wanalijua
Hawakupotezi mwanao twaja wawili, double double
Na kwa zile fadhila nilizofunzwa
Mie nitawatunza
Nimeisubiri siku hii (Subira subira)
Nikuonyeshe jinsi mimi (Jinsi mi, jinsi mi, jinsi mi)
Navyokupenda aah (Nakupenda aah)
Baby nakuthamini
Nimeisubiri siku hii (Subira subira)
Nikuonyeshe jinsi mimi (Jinsi mi, jinsi mi, jinsi mi)
Navyokupenda aah (Nakupenda aah)
Baby nakuthamini
Jamani leo ni leo
NI leo, ayeee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nabo (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SANAIPEI TANDE
Kenya
Natasha Sanaipei Tande, better known as Sanaipei Tande or simply Sana, is a Kenyan singer, songwrite ...
YOU MAY ALSO LIKE