Home Search Countries Albums

Naijulikane wewe Ni Mungu

RUTH WAMUYU

Naijulikane wewe Ni Mungu Lyrics


Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote

Niko mbele zako miguuni mwako
Nimenyenyekea nikutafute
Mahitaji yangu ninakuletea
Mizigo yote nakuwachia 

Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote

Ninayo imani unayaweza
Muweza yote unanitosha
Msaidizi wakati kama huu
Nakuamini nanyenyekea

Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote

Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2015


Album : Naijulikane wewe Ni Mungu (Single)


Copyright : ©2015


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

RUTH WAMUYU

Kenya

Rev Ruth Wamuyu is a Pastor, Motivational Speaker and Gospel singer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE