Home Search Countries Albums

Red Emoji

RIOT Feat. DEMAKUFU, KARTELO

Red Emoji Lyrics


(Demakufu )

Ukipiga binja aah 
Shiko akilete pongi magizani pinja aaah
Pressure unapiga cheza nami kula mimba
Alafu chorea mafisi Kayole kuna Masimba

Wasiwasi ya kuku ngojea mayai
Unaniringia na luku na budako masai
Ati hadi nimekuwa sugu juu ya kukula kingwai
But mi najifanyaga bubu nikiskia wanabonga thoi

Heri kutulia na mafisi kuliko doggy
Tabia ya kukulana ma area hadharani kombi
Kutembeaga kimbogi na hamnaga mission
Ninaweza tokea solo buda na nikiwinda sikosi

Nina jeshi ya maodi manoti kwa koti
Hatunanga ngori kuchezesha reggea kwa ploti
Ras na gode zikishika red emoji
Riot si unajua genge ni Kimonyoski

Kako base kwanza haga zikibanjuka
We dola mashot mi najikunja
Mimi napenda hizo haga zikidondosa
Ni kipusa nakaguza hii ni makosa

Makosa si hii ni makosa
Makosa si hii ni maa mayoo
Makosa si hii ni makosa
Makosa si hii ni maa mayoo
Makosa si hii ni makosa

Msupa ana haga zi hu riri ririri
Akirombo hurusha ma jegi jegi
Uuuuh makosa team fisi
Nakwakasha kanasuka kanachizi
Ni kumedi kama kawa kwa kimbosho ni kidawa
Niko jing aluta vela tukiwasha
Chachisha kifaransa na madam ka mganga
Mi landlord  my lady kumpanga

Boy ni gathenga anajifanya kujichocha
Mangoko nawateka nawakata ka shoka
Teka nasuka nafumba navuta nadunga nakemba nacheka
Hadi kwa mboka Nyamboka boka wote walitoroka
Sababu ni gani mjuluu ni ndogo haitoshi mboga
Mjulu mjuluu haitoshi mboga

Kako base kwanza haga zikibanjuka
We dola mashot mi najikunja
Mimi napenda hizo haga zikidondosa
Ni kipusa nakaguza hii ni makosa

Makosa si hii ni makosa
Makosa si hii ni maa mayoo
Makosa si hii ni makosa
Makosa si hii ni maa mayoo
Makosa si hii ni makosa

Ku DM kwenye Insta si alisha tanisha
Wengine wana figa na sura za kufurahisha
Boychild anateseka namna lakini atazoea
Kukupenda sio rahisi ufisi bado inamadisha
Cute girls wana sere, sesere sere serereka
Ma slay wanatesa tetesa tesa tetesa
Ma sponyo wanalege lelege lege legeza
Ni la casa kwa telemundo inafanya mi nacheka

Anijenge punani nai man
Leta banju tupatane Pumwani mayoo
Mi ni nani mi humruka hadharani
Kesi baadaye bani tupatane mlimani
Slow coach kimandazi mi siweziingia
Local vitu nyasu mi siwezi ivisha
Nipate form ya wara nikikula mambichwa
Pale joh wakina Lucci wakinilipua kichwa

Hii ni chain ya mafathee morio wangu utachizi
Jaa ni ras toa huda rungu yako utachizi
Na sihitaji kuku manga juu wasupa mi namanga
Wao hudai mi humwaga kama lorry ya mchanga

Kako base kwanza haga zikibanjuka
We dola mashot mi najikunja
Mimi napenda hizo haga zikidondosa
Ni kipusa nakaguza hii ni makosa

Makosa si hii ni makosa
Makosa si hii ni maa mayoo
Makosa si hii ni makosa
Makosa si hii ni maa mayoo
Makosa si hii ni makosa

Kwa makosa ashanikosa mi ni pedi wa bakora
Lenga hikyo kidada coz sura ni ki-horror
Ni kindukulu muroro nalamba nashika puru
Ni mandururu muroro kawike kemba mjulu
Nina ka loyce Joy nakacheza ni kama toy
Ni makosa kejani nishafikaga na maboy
Dondosa ka baby girl mimi nadai ku-enjoy

Nakibig niswing kwa Rawinj nifeel the king
Najipin ka witch mistari zateka maqueen
Kwenye jing kisling wayahudi piga mambling
Kwa ring nakill nashtua mi ndio bella ring

Makosa si hii ni makosa
Makosa juu hii ni makosa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Red Emoji (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RIOT

Kenya

Riot is an upcoming music group from Kenya formed in 2019 and mentored by Kartelo. Members include; ...

YOU MAY ALSO LIKE