Home Search Countries Albums

Sisqo

RAZE

Sisqo Lyrics


Mi humada beats ka sisqo
Remember times hukuwa skimmy
Naifanya on light ka disco
Niko kwa booth sibongi ju ya kissy

Mi ni mrude naifanya on foot
Dem anadai tu mashillings
Tukikaokota ju hatuko killing
Tunawaround na hii ndio time ya sinning
Hio ndo time ya mangwai
Moshi inawaka ka chimney
Wakiniona wanabolt ka ride
Tuliwindow shop ka fifty
Mi hufanya na siku 360 
Alafu tulia na hio 5

Najua hamwezi fanya ka mimi
Najua mi hufanya na pride

Watajua leo si ka jana
Hii maisha ni maze
Wengine waligeuka marana
Tunakam hadi baze
Usiku hatuogopi mchana
Na huwezi kuwa same
Allnight ka rave

Nimekam nimehide my face
Natry ku avoid ma scandals
Tunadim huyo msee ka candle
Niite IG huwezi nihandle
Ka una beef kaa kando

Walidai kulink up 
Lakini hamwezi hii side
Ju huwezi fanya ka mimi
Hawawezi fanya na pride 

Mi humada beats ka sisqo
Remember times hukuwa skimmy
Naifanya on light ka disco
Niko kwa booth sibongi ju ya kissy

Mi ni mrude naifanya on foot
Dem anadai tu mashillings
Tukikaokota ju hatuko killing
Tunawaround na hii ndio time ya sinning
Hio ndo time ya mangwai
Moshi inawaka ka chimney
Wakiniona wanabolt ka ride
Tuliwindow shop ka fifty
Mi hufanya na siku 360 
Alafu tulia na hio 5

Najua hamwezi fanya ka mimi
Najua mi hufanya na pride

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Sisqo (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RAZE

Kenya

Raze also known as Maellah is a drill artist from Kenya, a member of GTA drill crew. ...

YOU MAY ALSO LIKE